Prof Koboko
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 350
- 2,550
Wanamuogopa mwanasheria wake chezea the Hague...true, hawezi katwa.
original plan ilikuwa akatwe but political landscape ilivyobadilika ndani ya hizi siku 10 imelazimisha mipango yote ipinduke kichwa chini miguu juu!
True uchaguzi ukiwa huru na haki hakuna uvunjifu wa amani,atakaeleta vurugu kukataa kushinda wananchi wenyewe tutamdhibitLisu hakatwi ili watz wamfundishe adabu na kumkata ngebe 28/10/2020
Lisu atapigwa mbele na nyuma hata amini yeye na yule beberu wake amsterdam watavuna aibu ya miaka 5.True uchaguzi ukiwa huru na haki hakuna uvunjifu wa amani,atakaeleta vurugu kukataa kushinda wananchi wenyewe tutamdhibit
Hakuna mtu wa kumkata Lisu ili afundishwe adabu na wanachi oktobaMagufuli amezoea KUKIMBIA washindani wake tangu akiwa Mbunge, safari asijaribu kutuletea michezo yake hiyo ni lazima AKUBALI KUJIPIMA na washindani wake akiwemo Lissu.
Yawekeni sawa na wazi ili washindwe kihalali bila figisu coz uhakika wa ushindi upo sababu mmefanya makubwa kuliko hata aliyofanya mkoloni tangu nchi hii kuumbwa.Hadi tumefika uchumi wa Kati toka mlo mmoja kwa siku Hadi tunasaza Milo 4 kwa sikuLisu atapigwa mbele na nyuma hata amini yeye na yule beberu wake amsterdam watavuna aibu ya miaka 5.
Watz siyo wajinga kama walivyo wana chadema
Kesho sio mbali hofu ya nnAkishakatwa ni lazima watataja sababu na hicho kifungu, hivyo subiri na usiwe na papara mpaka sasa hivi hajakatwa bado, labda anaweza kuwa na bahati akapita au asiwe na bahati wakakata, ...
Issue ni kuwa Lipumba na Shibuda watatoa mapingamizi ambayo inabidi ayajibu and he will not be available to respond to them. Hivyo kukatwa kwa kushindwa to respond to accusations raised against him