This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Mwanamme ambaye hajawhi kutoka au kutembea mbali na nyumbani kwake huwa anaamini mke wake ndie anayejua kupika tu.Lahaula siku akatoka akala chakula alichopika mwanamke mwingine ndio atajua alaaaa kumbe kuna wajuzi wa kipika!!! Nlikua najidanganya kuwa mke wangu ndiyo mpishi mzuri.Yawekeni sawa na wazi ili washindwe kihalali bila figisu coz uhakika wa ushindi upo sababu mmefanya makubwa kuliko hata aliyofanya mkoloni tangu nchi hii kuumbwa.Hadi tumefika uchumi wa Kati toka mlo mmoja kwa siku Hadi tunasaza Milo 4 kwa siku