Lissu anaogopa kukosolewa?

Muache ndugu mwenyekiti apige kazi
 
Simchukii lissu. Lissu rafiki yangu, kilinichokera njia alioingilia kupata uongozi
Malaria yako itakuja kuisha kweli wewe?
1. Hukukereka Mbowe alipobadili Katiba ili abaki madarakani.
2. Hukukereka Mbowe alipowafurusha kina Kafulila, Zitto et al bila sababu ya msingi.
3. Hukukereka 2015 Mbowe alipobadili gia angani kwa kutelekeza vita dhidi ya ufisadi na kuiweka CHADEMA kwenye mikono ya fisadi waliyempiga vita kwa miaka mingi.
4. Hukukereka Mbowe alipoanza round mpya ya kung’oa waliokataa kuwa machawa wake (Msigwa, Heche, etc).

Hivyo basi, huna haja ya kukereka kwa Lissu kuja na antidote ya Ayatollah Mbowe!
 
Naona malaria imekushika kweli kweli. Tulia dawa zinachangnywa maabara kwa ajili ya ccm hili waje wapigwe sindano. Hivi wamesha tambulisha mgombea wao? Maana haijulikani kama wameshafanya hivyo
 
Utegemee na yeye kuondolewa kwa matusi na kejeli
 
Naona malaria imekushika kweli kweli. Tulia dawa zinachangnywa maabara kwa ajili ya ccm hili waje wapigwe sindano. Hivi wamesha tambulisha mgombea wao? Maana haijulikani kama wameshafanya hivyo
Mgombea wa ccm ni mama Samia Suluhu Hasssan. Wa chadema hawana
 
mbona mabwana wapo wengi we mdada we umemganda mnyaturu tu anakupiga popo kanyea mbingu nini?
 
Lissu hata clubhouse alipopata support kwa Diaspora na watanzania wengine nako amepakimbia. Hajaenda hata kuwashukuru kwa kumuunga mkono kwa hali na mali
 
kwasasa LISu amekuwa kiongozi wa juu wa chama....hiyo iwe kazi ya vijana wake chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…