Lissu anaogopa kukosolewa?

Lissu anaogopa kukosolewa?

Naona tangu achaguliwe mwenyekiti wa chadema mitandao ya kijamii anaigopa hata kuitumia.
Kabla ya uchaguzi alikuwa akitewet kila siku lkn hivi sasa mtandao wake wa X ambao ulikuwa active hivi hapost tena.
Nimegundua anaogopa negative comments kutoka chadema na ccm ambazo zimekuwa nyingi. Mwenziwe lema inasemekana hupiga blocko tu.

Hii tofauti na Mbowe ambae alikua mstahamilivu sana ktk siasa.
Muache ndugu mwenyekiti apige kazi
 
Simchukii lissu. Lissu rafiki yangu, kilinichokera njia alioingilia kupata uongozi
Malaria yako itakuja kuisha kweli wewe?
1. Hukukereka Mbowe alipobadili Katiba ili abaki madarakani.
2. Hukukereka Mbowe alipowafurusha kina Kafulila, Zitto et al bila sababu ya msingi.
3. Hukukereka 2015 Mbowe alipobadili gia angani kwa kutelekeza vita dhidi ya ufisadi na kuiweka CHADEMA kwenye mikono ya fisadi waliyempiga vita kwa miaka mingi.
4. Hukukereka Mbowe alipoanza round mpya ya kung’oa waliokataa kuwa machawa wake (Msigwa, Heche, etc).

Hivyo basi, huna haja ya kukereka kwa Lissu kuja na antidote ya Ayatollah Mbowe!
 
Naona tangu achaguliwe mwenyekiti wa chadema mitandao ya kijamii anaigopa hata kuitumia.
Kabla ya uchaguzi alikuwa akitewet kila siku lkn hivi sasa mtandao wake wa X ambao ulikuwa active hivi hapost tena.
Nimegundua anaogopa negative comments kutoka chadema na ccm ambazo zimekuwa nyingi. Mwenziwe lema inasemekana hupiga blocko tu.

Hii tofauti na Mbowe ambae alikua mstahamilivu sana ktk siasa.
Naona malaria imekushika kweli kweli. Tulia dawa zinachangnywa maabara kwa ajili ya ccm hili waje wapigwe sindano. Hivi wamesha tambulisha mgombea wao? Maana haijulikani kama wameshafanya hivyo
 
Utegemee na yeye kuondolewa kwa matusi na kejeli
 
Naona malaria imekushika kweli kweli. Tulia dawa zinachangnywa maabara kwa ajili ya ccm hili waje wapigwe sindano. Hivi wamesha tambulisha mgombea wao? Maana haijulikani kama wameshafanya hivyo
Mgombea wa ccm ni mama Samia Suluhu Hasssan. Wa chadema hawana
 
Naona tangu achaguliwe mwenyekiti wa chadema mitandao ya kijamii anaigopa hata kuitumia.
Kabla ya uchaguzi alikuwa akitewet kila siku lkn hivi sasa mtandao wake wa X ambao ulikuwa active hivi hapost tena.
Nimegundua anaogopa negative comments kutoka chadema na ccm ambazo zimekuwa nyingi. Mwenziwe lema inasemekana hupiga blocko tu.

Hii tofauti na Mbowe ambae alikua mstahamilivu sana ktk siasa.
mbona mabwana wapo wengi we mdada we umemganda mnyaturu tu anakupiga popo kanyea mbingu nini?
 
Lissu hata clubhouse alipopata support kwa Diaspora na watanzania wengine nako amepakimbia. Hajaenda hata kuwashukuru kwa kumuunga mkono kwa hali na mali
 
kwasasa LISu amekuwa kiongozi wa juu wa chama....hiyo iwe kazi ya vijana wake chini
 
Back
Top Bottom