Pre GE2025 Lissu anasema aliwahi kuwasilisha suala la Rushwa ya Abdul na mama yake kwa Kamati Kuu lakini halikujadiliwa zaidi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kitu kimoja ambacho sikielewi na huenda sitakielewa milele ni hichi.
Msigwa akiwa Chadema alikuwa anadai kuwa CCM kupitia Samia imeleta pesa nyingi ili kuvuruga Chadema hususani kwenye uchaguzi wa kanda ya Nyasa. Sasa baada ya Msigwa kushindwa huku akidai pesa chafu ya CCM ndio imechangia kushindwa kwake, hapo hapo akaamua kuhamia CCM huku akisema hicho ndio chama sahihi kwake.

Mwenye kuelewa hili anieleweshe.
... MWIBA HUTOKEA ULIPOINGILIA!
🤣
 
Mwanasiasa na logic haviendani
 
Msigwa aliamua kuwa CCM kamili kuliko kuwa CCM nusu kama alivyo FAM na wapambe wake.
 
Kitu kimoja ambacho sikielewi na huenda sitakielewa milele ni hichi.
Msigwa akiwa Chadema alikuwa anadai kuwa CCM kupitia Samia imeleta pesa nyingi ili kuvuruga Chadema hususani kwenye uchaguzi wa kanda ya Nyasa. Sasa baada ya Msigwa kushindwa huku akidai pesa chafu ya CCM ndio imechangia kushindwa kwake, hapo hapo akaamua kuhamia CCM huku akisema hicho ndio chama sahihi kwake.

Mwenye kuelewa hili anieleweshe.
Msigwa yupo Right kabisa kwasababu aligundua kumbe chama anachokipigania kumbe ni kibaraka tu sasa kwanini asiende kwa Bosi mwenyewe, Kama Chama kubwa kama CDM viongozi wake wanaweza kununuliwa itakuwaje kwa vyama kama ACT, CUF au NCCR. Akaona huu wote upumbavu sehemu sahihi ni CCM. Hata siri COVD 19 huwenda anaijua ndiyo maana akaona CDM siyo mahali salama. Pamoja na vyama vyote vya upinzani hata Lisu hataweza kuivunja hiyo Syndicate. Awe mpole tu. Watanzania tumeshawekwa kwenye sufuria acha tutokoswe tu mpaka tubaki mifupa
 
Kitu kimoja ambacho sikielewi na huenda sitakielewa milele ni hichi.
Msigwa akiwa Chadema alikuwa anadai kuwa CCM kupitia Samia imeleta pesa nyingi ili kuvuruga Chadema hususani kwenye uchaguzi wa kanda ya Nyasa. Sasa baada ya Msigwa kushindwa huku akidai pesa chafu ya CCM ndio imechangia kushindwa kwake, hapo hapo akaamua kuhamia CCM huku akisema hicho ndio chama sahihi kwake.

Mwenye kuelewa hili anieleweshe.
Hiyo hata ukimuuliza Msigwa mwenyewe haelewi.
 
Lissu ameulizwa kwanini ameongea sasa kuhusu rushwa za mama abdul na mwanaye anakuja kuongea sasa, amejibu hivi;

Nilihitaji kukusanya taarifa zaidi kabla sijangumza, kabla ya kuzungumza kwenye mkutano wa iringa may 2 aliandika ujumbe wa maandishi kwa wajumbe wote wa kamati kuu, akielezea juu ya tatizo la rushwa kwenye chama, rushwa ya abdul na mama yake, na kuvugwa kwa uchaguzi wao wa ndani.

Alipozungumza hapa alikuwa amepata taarifa za kutosha juu ya rushwa hiyo ya abdul na mama yake kuharibu uchaguzi, lakini alitengenezewa zengwe kwenye kamati kuu. Alipozungumza kwenye kikao hicho habari hizo hazijawahi kutolewa nje, wakisema Lissu aliomba msamaha, lakini si kweli, kama wanabisha watoe video.

Baada ya kikao hicho cha kamati kuu alipata habari za ziada, ilikuaje abdul akapelekwa na wenje, anasema habari ilianzia kwengine, ambako huko alisema wenje anammudu lissu maana ni marafiki, ndio wenje akampela abdul kwa lissu

Lissu anaongea haya club house December 23, 2024 pia unaweza kusikiliza kwenye XSpaces ya Sauti ya Watanzania
naomba kuuliza,kama kamati kuu ndiyo ime mfanyia hivyo na wao ndiyo wapiga kura ya mwenyekiti, sasa hapo lissu ata shinda vp?
 
kama nime elewa vizuri, ni kwamba kamati kuu ilipotezea hilo swala za rushwa ya abdul, na naona kwamba mwenye kiti wa cdm ana pigiwa kura na haohao. sasa hapo ina kuaje? na vp kuhusu kupeleka mala miko yake tatukuru ama vyombo vyovyote husika? hata kama anahisi hamna haki yoyote kule, si angesema report tu!?
 
Back
Top Bottom