Pre GE2025 Lissu anasema aliwahi kuwasilisha suala la Rushwa ya Abdul na mama yake kwa Kamati Kuu lakini halikujadiliwa zaidi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
... MWIBA HUTOKEA ULIPOINGILIA!
🤣
 
Mwanasiasa na logic haviendani
 
Msigwa aliamua kuwa CCM kamili kuliko kuwa CCM nusu kama alivyo FAM na wapambe wake.
 
Msigwa yupo Right kabisa kwasababu aligundua kumbe chama anachokipigania kumbe ni kibaraka tu sasa kwanini asiende kwa Bosi mwenyewe, Kama Chama kubwa kama CDM viongozi wake wanaweza kununuliwa itakuwaje kwa vyama kama ACT, CUF au NCCR. Akaona huu wote upumbavu sehemu sahihi ni CCM. Hata siri COVD 19 huwenda anaijua ndiyo maana akaona CDM siyo mahali salama. Pamoja na vyama vyote vya upinzani hata Lisu hataweza kuivunja hiyo Syndicate. Awe mpole tu. Watanzania tumeshawekwa kwenye sufuria acha tutokoswe tu mpaka tubaki mifupa
 
Hiyo hata ukimuuliza Msigwa mwenyewe haelewi.
 
naomba kuuliza,kama kamati kuu ndiyo ime mfanyia hivyo na wao ndiyo wapiga kura ya mwenyekiti, sasa hapo lissu ata shinda vp?
 
kama nime elewa vizuri, ni kwamba kamati kuu ilipotezea hilo swala za rushwa ya abdul, na naona kwamba mwenye kiti wa cdm ana pigiwa kura na haohao. sasa hapo ina kuaje? na vp kuhusu kupeleka mala miko yake tatukuru ama vyombo vyovyote husika? hata kama anahisi hamna haki yoyote kule, si angesema report tu!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…