Lissu anasema hataki chawa, Mbona anao

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Katika siasa, neno "chawa" hutumiwa kama matusi au dhihaka kumwelezea mtu anayemuunga mkono au kumtetea kiongozi fulani kwa upofu, bila kuuliza maswali au kuzingatia ukweli.
Tujiulize Lissu na Heche hawana machawa?
Jibu wapo wengi
1. Nani anahoji hivi sasa?
2. Hawamsifu Lissu?
3. Hawapogi makofii na kushangilia hotuba za lissu na Heche. Jana hatujasikia?
4. Hawakejeli team Mbowe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…