Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Ukiangalia aina ya watu wanaomuunga mkono lissu unabakia unasikitika,kushangaa na kucheka sana.ni watu wababaishaji,wasiojitambua ,wasio na ushawishi ndani ya chama na nje ya chama. Ni watu wenye taswira Mbaya sana kwa jamii na wasiokubalika wala kuungwa mkono kwa matendo na kauli zao.
Ni watu ambao hawawezi kukaa na mwenye akili Timamu na anayejitambua wakafanya majadiliano au mashauriano ya jambo fulani. Ni watu ambao hawaeleweki wala kuelewa kitu chochote kile .hawana adabu wala staha wala hekima ya midomo yao.ni watu ambao wakifungua vinywa vyao unapata aibu ya kuendelea kusikiliza wanachozungumza.
Waswahili wanasema ya kuwa ukitaka kumjua mtu vizuri basi angalia watu waliomzunguka au watu wanaomuunga mkono au watu anaoshinda nao na kushirikiana nao. Kwa sababu ndege wafananao huruka pamoja. Mtu mwenye hekima ,busara ,staha na mwenye ushawishi kwa watu ni lazima utaona akizungukwa na watu wenye akili ,hekima,busara ,maarifa,ushawishi ,makini na wenye utulivu.
Lakini kinyume chake ni kuwa ni rahisi sana kukuta mtu aliyekosa hekima,adabu,ushawishi , busara ,akili,kujitambua akizungukwa na watu wa Hovyo hovyo wababaishaji,wenye mihemuko ,watukana matusi utafikiri vichaa au wendawazimu au wagonjwa wa akili.
Ni ngumu kukuta Mchungaji na Mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu kifuani pake akiwa amezungukwa na kuambatana muda wote na walevi,wavuta bangi ,watumiaji wa madawa ya kulevya ,wahuni wahuni na watu wa Hovyo hovyo.kwa sababu hata hao walevi na wahuni wahuni na wavuta bangi ni lazima waogope hata kumsogelea kwa sababu ya tabia zao mbaya na mienendo yao mibaya ambayo wanajua ni aibu kwa jamii na mbele za watu waliostaarabika.hata Nnzi hawakai pasafi bali hufuata penye uvundo na uchafu.
Kwa hiyo Lissu alitakiwa kujitathmini na kujiuliza hata kabla ya kuingia kwenye sanduku la kura kwamba ni kwanini haungwi mkono na viongozi wenzake wenye ushawishi ndani ya chama? Kwanini wote wanamkimbia na kuogopa hata kujinasibisha au kujihusisha naye au kuonekana naye hadharani?
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.