Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Yaani leo mpaka UWT mnataka Mbowe? kweli hapa panahitaji umakini mkubwa sn, Lissu awe Mwenyekiti haraka sn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe ana ushawishi hata kwa viongozi wa serikali na chama TaifaHaahaa kina yeriko, boni yai na sugu wanakubalika na jamii?😂😂
Nyani haoni Kundule.....Hivi wewe Lucas unajiona kuwa un akili
Labda awe mwenyekiti wa kijiwe chako unachojifukiza.Yaani leo mpaka UWT mnataka Mbowe? kweli hapa panahitaji umakini mkubwa sn, Lissu awe Mwenyekiti haraka sn
Yaani wewe upo CCM lakini unatupangia Mwenyekiti? shame on youLabda awe mwenyekiti wa kijiwe chako unachojifukiza.
Kwani na wewe upo wapi wakati hakuna chama kinapokea wasio na akili😀😀Yaani wewe upo CCM lakini unatupangia Mwenyekiti? shame on you
Hoja hujibiwa kwa hoja. Akina SATIVA ndio watu wanaotegemewa eti kumla ushindi lissu.kweli huu ni Mzaha na vichekesho sana.Kuna baadhi ya mada zinatia aibu hata kuzisoma.. Hata kama ni propaganda lakini sio huu upuzi
Kama ni kweli, mbona mnasema kura ziliibiwa?Ndugu zangu Watanzania,
Ukiangalia aina ya watu wanaomuunga mkono lissu unabakia unasikitika,kushangaa na kucheka sana.ni watu wababaishaji,wasiojitambua ,wasio na ushawishi ndani ya chama na nje ya chama. Ni watu wenye taswira Mbaya sana kwa jamii na wasiokubalika wala kuungwa mkono kwa matendo na kauli zao.
Ni watu ambao hawawezi kukaa na mwenye akili Timamu na anayejitambua wakafanya majadiliano au mashauriano ya jambo fulani. Ni watu ambao hawaeleweki wala kuelewa kitu chochote kile .hawana adabu wala staha wala hekima ya midomo yao.ni watu ambao wakifungua vinywa vyao unapata aibu ya kuendelea kusikiliza wanachozungumza.
Waswahili wanasema ya kuwa ukitaka kumjua mtu vizuri basi angalia watu waliomzunguka au watu wanaomuunga mkono au watu anaoshinda nao na kushirikiana nao. Kwa sababu ndege wafananao huruka pamoja. Mtu mwenye hekima ,busara ,staha na mwenye ushawishi kwa watu ni lazima utaona akizungukwa na watu wenye akili ,hekima,busara ,maarifa,ushawishi ,makini na wenye utulivu.
Lakini kinyume chake ni kuwa ni rahisi sana kukuta mtu aliyekosa hekima,adabu,ushawishi , busara ,akili,kujitambua akizungukwa na watu wa Hovyo hovyo wababaishaji,wenye mihemuko ,watukana matusi utafikiri vichaa au wendawazimu au wagonjwa wa akili.
Ni ngumu kukuta Mchungaji na Mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu kifuani pake akiwa amezungukwa na kuambatana muda wote na walevi,wavuta bangi ,watumiaji wa madawa ya kulevya ,wahuni wahuni na watu wa Hovyo hovyo.kwa sababu hata hao walevi na wahuni wahuni na wavuta bangi ni lazima waogope hata kumsogelea kwa sababu ya tabia zao mbaya na mienendo yao mibaya ambayo wanajua ni aibu kwa jamii na mbele za watu waliostaarabika.hata Nnzi hawakai pasafi bali hufuata penye uvundo na uchafu.
Kwa hiyo Lissu alitakiwa kujitathmini na kujiuliza hata kabla ya kuingia kwenye sanduku la kura kwamba ni kwanini haungwi mkono na viongozi wenzake wenye ushawishi ndani ya chama? Kwanini wote wanamkimbia na kuogopa hata kujinasibisha au kujihusisha naye au kuonekana naye hadharani?
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kura za nani ziliibiwa?Kama ni kweli, mbona mnasema kura ziliibiwa?
Takataka tu unaona ni hoja mjinga wewe eti hoja! Do you real know the qualities of argument that needs responses! We ni makelele unapiga au ujinga unaandika then unahalisha ni hoja! Ujinga ni mzigo wa mavi! Na wewe ni mjinga! PatheticHoja hujibiwa kwa hoja na siyo viroja.hata hivyo ungeacha wenye akili Timamu wajadili hoja
Yanakuumiza/kuwaumiza hizo mada zote nikuwaumiza kisa Tundu lissu ametia nia ya kutakakugombea uenyekiti kwanini yanachadema leo mnayapenda?Wapi nimesema yananiumiza ya CHADEMA
Naona unataka kuwehuka sasa😀😀kama ndugu zako wapo karibu wakuwahishe haraka sana hospitalini kupata matibabu ya dharuraTakataka tu unaona ni hoja mjinga wewe eti hoja! Do you real know the qualities of argument that needs responses! We ni makelele unapiga au ujinga unaandika then unahalisha ni hoja! Ujinga ni mzigo wa mavi! Na wewe ni mjinga! Pathetic
Hivi umekula nini mkuu..? Umekula ugali na uji kama mboga haya ndiyo madhara yakeNdugu zangu Watanzania,
Ukiangalia aina ya watu wanaomuunga mkono lissu unabakia unasikitika,kushangaa na kucheka sana.ni watu wababaishaji,wasiojitambua ,wasio na ushawishi ndani ya chama na nje ya chama. Ni watu wenye taswira Mbaya sana kwa jamii na wasiokubalika wala kuungwa mkono kwa matendo na kauli zao.
Ni watu ambao hawawezi kukaa na mwenye akili Timamu na anayejitambua wakafanya majadiliano au mashauriano ya jambo fulani. Ni watu ambao hawaeleweki wala kuelewa kitu chochote kile .hawana adabu wala staha wala hekima ya midomo yao.ni watu ambao wakifungua vinywa vyao unapata aibu ya kuendelea kusikiliza wanachozungumza.
Waswahili wanasema ya kuwa ukitaka kumjua mtu vizuri basi angalia watu waliomzunguka au watu wanaomuunga mkono au watu anaoshinda nao na kushirikiana nao. Kwa sababu ndege wafananao huruka pamoja. Mtu mwenye hekima ,busara ,staha na mwenye ushawishi kwa watu ni lazima utaona akizungukwa na watu wenye akili ,hekima,busara ,maarifa,ushawishi ,makini na wenye utulivu.
Lakini kinyume chake ni kuwa ni rahisi sana kukuta mtu aliyekosa hekima,adabu,ushawishi , busara ,akili,kujitambua akizungukwa na watu wa Hovyo hovyo wababaishaji,wenye mihemuko ,watukana matusi utafikiri vichaa au wendawazimu au wagonjwa wa akili.
Ni ngumu kukuta Mchungaji na Mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu kifuani pake akiwa amezungukwa na kuambatana muda wote na walevi,wavuta bangi ,watumiaji wa madawa ya kulevya ,wahuni wahuni na watu wa Hovyo hovyo.kwa sababu hata hao walevi na wahuni wahuni na wavuta bangi ni lazima waogope hata kumsogelea kwa sababu ya tabia zao mbaya na mienendo yao mibaya ambayo wanajua ni aibu kwa jamii na mbele za watu waliostaarabika.hata Nnzi hawakai pasafi bali hufuata penye uvundo na uchafu.
Kwa hiyo Lissu alitakiwa kujitathmini na kujiuliza hata kabla ya kuingia kwenye sanduku la kura kwamba ni kwanini haungwi mkono na viongozi wenzake wenye ushawishi ndani ya chama? Kwanini wote wanamkimbia na kuogopa hata kujinasibisha au kujihusisha naye au kuonekana naye hadharani?
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mimi ni free thinker, sina chamaNi ajabu sana chawa waandamizi wa ccm Lucas Mwashambwa , Tlaatlaah na chiembe wamekuwa vocalists wa Mbowe, wanamtetea Mbowe utadhani anawalipa.
Kila uchwao wanapandisha nyuzi za kumpinga Lissu, huko ccm hamtosheki nako?
Sas na wee kijna mvuata bangi mlevi muhuni kama hili mchezaji wa makamari nawewe unamuona ana akiliHivi wewe Lucas unajiona kuwa un akili timamu na una ushawishi wowote? Sativa tu amekuzidi kila kitu mpaka maisha, yeye sio chawa wala halambi makalio ya mtu anapambana sio wewe mpaka uandike mapambio ndio angalau utumiwe buku bmili ule mihogo.
We ujitambui. Waulize wanaojitambua wanakwambia huyo ndio tatizo kwao.Ndugu zangu Watanzania,
Ukiangalia aina ya watu wanaomuunga mkono lissu unabakia unasikitika,kushangaa na kucheka sana.ni watu wababaishaji,wasiojitambua ,wasio na ushawishi ndani ya chama na nje ya chama. Ni watu wenye taswira Mbaya sana kwa jamii na wasiokubalika wala kuungwa mkono kwa matendo na kauli zao.
Ni watu ambao hawawezi kukaa na mwenye akili Timamu na anayejitambua wakafanya majadiliano au mashauriano ya jambo fulani. Ni watu ambao hawaeleweki wala kuelewa kitu chochote kile .hawana adabu wala staha wala hekima ya midomo yao.ni watu ambao wakifungua vinywa vyao unapata aibu ya kuendelea kusikiliza wanachozungumza.
Waswahili wanasema ya kuwa ukitaka kumjua mtu vizuri basi angalia watu waliomzunguka au watu wanaomuunga mkono au watu anaoshinda nao na kushirikiana nao. Kwa sababu ndege wafananao huruka pamoja. Mtu mwenye hekima ,busara ,staha na mwenye ushawishi kwa watu ni lazima utaona akizungukwa na watu wenye akili ,hekima,busara ,maarifa,ushawishi ,makini na wenye utulivu.
Lakini kinyume chake ni kuwa ni rahisi sana kukuta mtu aliyekosa hekima,adabu,ushawishi , busara ,akili,kujitambua akizungukwa na watu wa Hovyo hovyo wababaishaji,wenye mihemuko ,watukana matusi utafikiri vichaa au wendawazimu au wagonjwa wa akili.
Ni ngumu kukuta Mchungaji na Mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu kifuani pake akiwa amezungukwa na kuambatana muda wote na walevi,wavuta bangi ,watumiaji wa madawa ya kulevya ,wahuni wahuni na watu wa Hovyo hovyo.kwa sababu hata hao walevi na wahuni wahuni na wavuta bangi ni lazima waogope hata kumsogelea kwa sababu ya tabia zao mbaya na mienendo yao mibaya ambayo wanajua ni aibu kwa jamii na mbele za watu waliostaarabika.hata Nnzi hawakai pasafi bali hufuata penye uvundo na uchafu.
Kwa hiyo Lissu alitakiwa kujitathmini na kujiuliza hata kabla ya kuingia kwenye sanduku la kura kwamba ni kwanini haungwi mkono na viongozi wenzake wenye ushawishi ndani ya chama? Kwanini wote wanamkimbia na kuogopa hata kujinasibisha au kujihusisha naye au kuonekana naye hadharani?
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Siyo Muda unaenda pata uteuziNdugu zangu Watanzania,

Uteuzi wa nini.Siyo Muda unaenda pata uteuzi
Wa kuteuliwa mkuuUteuzi wa nini.