Lissu Anaungwa Mkono na Watu Wababaishaji wasio na Ushawishi wala kukubalika kwa Jamii

Yaani leo mpaka UWT mnataka Mbowe? kweli hapa panahitaji umakini mkubwa sn, Lissu awe Mwenyekiti haraka sn
 
Kuna baadhi ya mada zinatia aibu hata kuzisoma.. Hata kama ni propaganda lakini sio huu upuzi
 
Kuna baadhi ya mada zinatia aibu hata kuzisoma.. Hata kama ni propaganda lakini sio huu upuzi
Hoja hujibiwa kwa hoja. Akina SATIVA ndio watu wanaotegemewa eti kumla ushindi lissu.kweli huu ni Mzaha na vichekesho sana.
 
Kama ni kweli, mbona mnasema kura ziliibiwa?
 
Hoja hujibiwa kwa hoja na siyo viroja.hata hivyo ungeacha wenye akili Timamu wajadili hoja
Takataka tu unaona ni hoja mjinga wewe eti hoja! Do you real know the qualities of argument that needs responses! We ni makelele unapiga au ujinga unaandika then unahalisha ni hoja! Ujinga ni mzigo wa mavi! Na wewe ni mjinga! Pathetic
 
Naona unataka kuwehuka sasa😀😀kama ndugu zako wapo karibu wakuwahishe haraka sana hospitalini kupata matibabu ya dharura
 
Hivi umekula nini mkuu..? Umekula ugali na uji kama mboga haya ndiyo madhara yake
 
Hivi wewe Lucas unajiona kuwa un akili timamu na una ushawishi wowote? Sativa tu amekuzidi kila kitu mpaka maisha, yeye sio chawa wala halambi makalio ya mtu anapambana sio wewe mpaka uandike mapambio ndio angalau utumiwe buku bmili ule mihogo.
Sas na wee kijna mvuata bangi mlevi muhuni kama hili mchezaji wa makamari nawewe unamuona ana akili
 
We ujitambui. Waulize wanaojitambua wanakwambia huyo ndio tatizo kwao.
 
Siyo Muda unaenda pata uteuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…