Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 32,246 Reaction score 31,176 Sep 20, 2020 #141 Buti la jeje analovaa huyu Lisu mguu wa kulia linaanza kumzidi uzito kuelekea 28 oktoba.
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Sep 20, 2020 #142 Lord denning said: Unaonaje ungejiita tu Changu?? Click to expand... Majina yao huwa hataki mbali na ukweli mara ngedere, bwege lao, magonjwa matambuka, chloroquine nk.
Lord denning said: Unaonaje ungejiita tu Changu?? Click to expand... Majina yao huwa hataki mbali na ukweli mara ngedere, bwege lao, magonjwa matambuka, chloroquine nk.
M mcoloo JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 918 Reaction score 1,402 Sep 20, 2020 #143 chagu wa malunde said: Tumepoteza marafiki? Are you insane? Nchi nyingi hazikuja kwenye msiba wa mkapa sababu zilikuwa zimefunga mipaka. Hiyo sio sababu ya kuongea. Burundi hawakufunga mpaka. Click to expand... We kweli Ni wa ajabu mada ilikuwa Ina semaje ? Usikurupuke jibu kutokana na mada, anyway nimeona uwezo wako kujenga hoja.
chagu wa malunde said: Tumepoteza marafiki? Are you insane? Nchi nyingi hazikuja kwenye msiba wa mkapa sababu zilikuwa zimefunga mipaka. Hiyo sio sababu ya kuongea. Burundi hawakufunga mpaka. Click to expand... We kweli Ni wa ajabu mada ilikuwa Ina semaje ? Usikurupuke jibu kutokana na mada, anyway nimeona uwezo wako kujenga hoja.
M mcoloo JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 918 Reaction score 1,402 Sep 20, 2020 #144 Larson said: Lissu ni mtu mnafiki Sana, watanzania wengi wa leo wanaweza kuchuja kila asemacho. Click to expand... Huo nao Ni mtizamo wako binafsi au ndio wale wa buku Saba.
Larson said: Lissu ni mtu mnafiki Sana, watanzania wengi wa leo wanaweza kuchuja kila asemacho. Click to expand... Huo nao Ni mtizamo wako binafsi au ndio wale wa buku Saba.
Omulasil JF-Expert Member Joined May 5, 2015 Posts 8,015 Reaction score 10,269 Sep 20, 2020 #145 The Elephant said: Hivi huwa kuna watu wanasoma unachoandika? mimi huwa nasoma kichwa cha habari nimemaliza! Click to expand... Soma na makalio ya habari pia
The Elephant said: Hivi huwa kuna watu wanasoma unachoandika? mimi huwa nasoma kichwa cha habari nimemaliza! Click to expand... Soma na makalio ya habari pia