Uchaguzi 2020 Lissu anazidi kuumbuka, kila hoja anayoanzisha inaonekana haina mashiko kwa Watanzania

NAWAKUMBUSHA TU WAKUU.

Tanzania ni moja kati ya The Poorest Countries in the World (MASIKINI ZAIDI DUNIANI) inashika nafasi ya 8 kutoka chini. ( Focus economy 2019- 23)
MIAKA 60 YA UHURU.

CCM imetufikisha hapa

Weka link
 
Tatizo sio wewe,ni akili mbovu uliyonayo.
Sasa wewe mwenye akili ya kumshangilia huyo mrundi kwa kumuona mwanadiplomasia una Nini kichwani Kama sio tope la ugolo? Ama kweli ccm Ina wachambuzi na wapiga debe wenye akili! Hivi nchi hii iitegemee Burundi kiuchumi? Wana Nini zaidi ya Ile milima ya kokoto? Hana lolote la maana huyo!
 
Nani kasema Tanzania inaitegemea Burundi kiuchumi? Au hujui sote tunategemeana? Kama kuna biashara ya bil 201 unadhani suala dogo? Kama kuna mradi mkubwa wa nickel processing plant amba utanufaisha nchi hizi mbili unadhani ni suala dogo? Any way sio kosa lako.
 
Nitolee upuuzi na umbumbu wako hapa! Hujui lolote zaidi ya kupelekeshwa tu mithili ya maksai shambani!
 
Tanzania ya leo sio ile ya miaka ya nyuma ambayo watu wengi walikuwa hawawezi kupata habari kwa urahisi kama ilivyo hii ya leo. Miaka ya nyuma radio station ilikuwa moja tu na hata Tv stations hazikuwepo,pia radio stations za watu binafsi nyingi hazikuwepo,hivyo upatikanaji wa habari ulikuwa mgumu na hivyo ilikuwa rahisi kuwapotosha watu

Leo hii utampotosha nani? Karibu kila familia mijini na vijijini ina Tv set na kila mwanafamilia ana simu janja ambayo inauwezo wa kumpatia habari anayoyote anayoitaka. Kipindi hiki cha uchaguzi wananchi wanapata habari kwa urahisi sababu teknolojia imekuwa na hivyo kila hoja na sera za mgombea wananchi wanazipata.

Mgombea urais kwa Chadema, Tundu Lissu amekuwa akisikika kila mahala anapofanya kampeni zake kuwa rais aliyepo madarakani amefifisha mahusiano ya kidiplomasia na nchi jirani na mataifa ya nje. Kisa tu huwa hafanyi safari za nje mara kwa mara. Hii hoja amekuwa akisisitiza mno kiasi kwamba watu wamekuwa wakimshangaa.

Ziara ya rais wa Burundi ndugu Evarist Ndaishiaye imemuumbua huyu ndugu Tundu Lissu,maana kama nchi haina mahusiano mazuri ya kidiplomasia na majirani au mataifa ya nje rais wa Burundi angekuja leo Tanzania kufanya ziara ya kikazi ambayo ina manufaa makubwa kwa taifa letu? Kama Tanzania ina mahusiano mabaya na majirani zake Burundi ingeweza kufanya makubaliano ya kuanzisha mchakato wa kujenga kinu cha kuchenjulia nickel kwa pamoja na Tanzania? Mbali na ziara ya rais wa Burundi ambae amefanya ziara leo,je ziara ya rais Museveni? Sio uhusiano mzuri wa kidiplomasia na majirani?
Leo bomba la mafuta litapita hapa Tanzania na taifa letu litanufaika kimapato.Biashara baina ya Burundi na Tanzania kwa sasa ni zaidi ya bil 201. Je wakianza kuuza dhahabu mkoani Kigoma kwenye soko la dhahabu itakuwaje?

Mimi binafsi naona ndugu Lissu hakujiandaa kugombea urais vizuri na itakuwa jambo la ajabu wakazi wa mkoa wa Kigoma na Tanzania kwa ujumla kuchagua mtu ambae haoni mahusiano mazuri ya taifa letu na nchi za nje amabayo yanaliletea taifa letu manufaaa makubwa. Hii hoja potofu kuwa JPM amefanya mahusiano ya kimataifa kuwa mabaya ni sababu tosha kumnyima kura huyu mgombea maana ni muongo na mzandiki.
Tulia basi we muhutu wa Kirundi awamu hii tunaongozwa n Mtanzania mwenzetu
 
Inaonyesha hujui kile unacho kiwasilisha kwa jamii, Ni Bora ukae kimya.
Kumbuka huyu Lisu Alisha sema kuwa tumepoza marafiki na rafiki wa Tanzania aliye baki ni Burundi mrithi wa kurunzinza na ndio maana alikuja kwenye mazishi ya Mkapa.
Sasa unaposema anaumbuka , anaumbuka kwa lipi, acha kukaririshwa Bora ukae kimya.
 
Anaumbuka tulieni
 
Tumepoteza marafiki? Are you insane? Nchi nyingi hazikuja kwenye msiba wa mkapa sababu zilikuwa zimefunga mipaka. Hiyo sio sababu ya kuongea. Burundi hawakufunga mpaka.
 
Mungu wangu una akili wewe unamchukulia rais wa burundi na kumhesabu kama sehemu ya kujenga diplomasia?! mna shida!!
 
WALIANZA KUKOSEA HAPA YANI JOPO ZIMA LINAKAA NA KUTULETEA WATANZANIA ANDIKO LA OVYO HIVI.......
1600538170566.png
 
Back
Top Bottom