Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
- Thread starter
- #81
Misaada ni kitu cha lazima?Kotopata misaada ni kipimo tosha wengine hawavunji lakini wanaminya kimya kimya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Misaada ni kitu cha lazima?Kotopata misaada ni kipimo tosha wengine hawavunji lakini wanaminya kimya kimya
Aibu kubwa kwa Chadema ya Mbowe.Tundu Lissu ni mgombea wa hovyo kuliko wote tokea upinzani uanzishwe nchi hii
Huyo fala nilishamlamba Block kitambooooooHivi huwa kuna watu wanasoma unachoandika? mimi huwa nasoma kichwa cha habari nimemaliza!
We umeandika nini? Au una logic gani?Hii n kwa waalimu tu,haisiani na uzi wako,mfano mwanafunz anaeshika namba ya mwisho akisiskasi na yule anaemfuatia huwa waalimu kwa tathimini yenu mnatarajia kuvuna nini kwa hawa watoto wa bottom three or two?
Kwani mimi natafuta uteuzi? Mimi nasema kweli tu. Hoja ya Lissu kuhusu diplomasia kuharibika ni uongo na uzandiki.Tukoa tunywe wote na wewe sijanywa tena lakini uteuzi hupati tena kwani mtukufu mwenyekiti wa CCM bado hajakubali utetezi wako dhidi yake
Kama sio mwalim usini quoteWe umeandika nini? Au una logic gani?
Nonsense,kwa hiyo Kenyatta akisema ana undugu na watanzania tayari JPM ni mkenya!Nakubaliana na wewe, Rais wa Burundi kumtembelea Mrundi mwenzie ni Mahusiano mazuri si tu ya kidiplomasia Bali ya kindugu kabisa. Hata yeye mwenyewe amesema Magufuli ni baba yake.
Acha hasira,Lissu anasema JPM ameharibu uhusiano wa kidiplomasia kitu ambacho si kweli, hafai.
Yamekuwa hayo?Huyo Rais wa Burundi AMEITWA na GHARAMA ZA SAFARI ZIMELIPWA NA TANZANIA.
ILI MRADI TU IONEKANE AMEKUJA.
NI HADAA.
Kisa anaandika nyuzi kama hizi? AmaHuyo fala nilishamlamba Block kitamboooooo
Hausiani na uzi umeiweka hapa ili iweje?Hii n kwa waalimu tu,hausiani na uzi wako,mfano mwanafunz anaeshika namba ya mwisho akidiskasi na yule anaemfuatia huwa waalimu kwa tathimini yenu mnatarajia kuvuna nini kwa hawa watoto wa bottom three or two?
Kijiji cha baba yako.Hivi kwa akili yako Burundi ni nchi?
Nmejua kuna average mind kama wewe ndo maana nikasema wenye average mind kam wewe mtaanza kuuliza maswali wkt wapo wanao catch up fastHausiani na uzi umeiweka hapa ili iweje?
Kama wewe ni mwalimu basi ni wale ambao mlipata div four ya 28. Hufai kuwa mwalimu.Nmejua kuna average mind kama wewe ndo maana nikasema wenye average mind kam wewe mtaanza kuuliza maswali wkt wapo wanao catch up fast
Kama Magufuli ataweza kuchimba na kuchenjua madini nickel yanayopatikana kwa wingi Kabanga mpakani mwa Burundi na Tanzania atakuwa ameshinda mtihani wa kwanza wa uwekezaji mkubwa wenye tija.Tanzania ya leo sio ile ya miaka ya nyuma ambayo watu wengi walikuwa hawawezi kupata habari kwa urahisi kama ilivyo hii ya leo. Miaka ya nyuma radio station ilikuwa moja tu na hata Tv stations hazikuwepo,pia radio stations za watu binafsi nyingi hazikuwepo,hivyo upatikanaji wa habari ulikuwa mgumu na hivyo ilikuwa rahisi kuwapotosha watu
Leo hii utampotosha nani? Karibu kila familia mijini na vijijini ina Tv set na kila mwanafamilia ana simu janja ambayo inauwezo wa kumpatia habari anayoyote anayoitaka. Kipindi hiki cha uchaguzi wananchi wanapata habari kwa urahisi sababu teknolojia imekuwa na hivyo kila hoja na sera za mgombea wananchi wanazipata.
Mgombea urais kwa Chadema, Tundu Lissu amekuwa akisikika kila mahala anapofanya kampeni zake kuwa rais aliyepo madarakani amefifisha mahusiano ya kidiplomasia na nchi jirani na mataifa ya nje. Kisa tu huwa hafanyi safari za nje mara kwa mara. Hii hoja amekuwa akisisitiza mno kiasi kwamba watu wamekuwa wakimshangaa.
Ziara ya rais wa Burundi ndugu Evarist Ndaishiaye imemuumbua huyu ndugu Tundu Lissu,maana kama nchi haina mahusiano mazuri ya kidiplomasia na majirani au mataifa ya nje rais wa Burundi angekuja leo Tanzania kufanya ziara ya kikazi ambayo ina manufaa makubwa kwa taifa letu? Kama Tanzania ina mahusiano mabaya na majirani zake Burundi ingeweza kufanya makubaliano ya kuanzisha mchakato wa kujenga kinu cha kuchenjulia nickel kwa pamoja na Tanzania? Mbali na ziara ya rais wa Burundi ambae amefanya ziara leo,je ziara ya rais Museveni? Sio uhusiano mzuri wa kidiplomasia na majirani?
Leo bomba la mafuta litapita hapa Tanzania na taifa letu litanufaika kimapato.Biashara baina ya Burundi na Tanzania kwa sasa ni zaidi ya bil 201. Je wakianza kuuza dhahabu mkoani Kigoma kwenye soko la dhahabu itakuwaje?
Mimi binafsi naona ndugu Lissu hakujiandaa kugombea urais vizuri na itakuwa jambo la ajabu wakazi wa mkoa wa Kigoma na Tanzania kwa ujumla kuchagua mtu ambae haoni mahusiano mazuri ya taifa letu na nchi za nje amabayo yanaliletea taifa letu manufaaa makubwa. Hii hoja potofu kuwa JPM amefanya mahusiano ya kimataifa kuwa mabaya ni sababu tosha kumnyima kura huyu mgombea maana ni muongo na mzandiki.
Mradi wa JNHPP unakamilika mwakani mwezi wa sita,hizo njia za kusafirisha nickel zitajengwa fasta. Pia bwawa la umeme Rusumo litakuwa limekamilika. Kwa hiyo usihofu.Kama Magufuli ataweza kuchimba na kuchenjua madini nickel yanayopatikana kwa wingi Kabanga mpakani mwa Burundi na Tanzania atakuwa ameshinda mtihani wa kwanza wa uwekezaji mkubwa wenye tija.
Madini ya Nikel yana thamani kubwa na yana matumizi mengi mno duniani.
Tatizo mmoja kubwa kuchenjua Nikel kunahitaji umeme mwingi,hivyo basi ujenzi wa Bwawa la Nyerere ujengwe kwa haraka sana na Kigoma iunganishwe kwenye grid ya taifa.
Tatizo jingine usafirishaji ni tatizo,labda ijengwe reli ya kutokea Kabanga iunganishwe na Uvinza as soon as possible.
Mwisho nchi irudi kwenye road map ya NDC ya kuyeyusha chuma cha Liganga kitakavyotumika kuunda vitu mbali mbali nchini hapa nchini tukiongezea na madini ya Nikel.
Sasa huyo ana msaada gani kwa chama na nchi? Au kamuahidi kuwasombelea kwa malori warundi waje kumpigia kura?Mahusiano ya kidiplomasia yapo vizuri. Hii ziara ya rais wa Burundi ni ishara tosha.