Lissu aomba apelekwe Dodoma kusikiliza kesi yake dhidi ya AG, Kamishna wa Magereza

Lissu aomba apelekwe Dodoma kusikiliza kesi yake dhidi ya AG, Kamishna wa Magereza

SAMIA SULUHU nakuhakikishia mbele ya Mungu, suala la LISSU litakufanya umalize sehemu ya maisha yako kwa dhiki kubwa iliyojaa tabu na machungu
Sawa. Tusubiri basi
 
Mbona Samia ndiye aliyemtembelea Nairobi alikolazwa baada ya kushambuliwa na timu ya Makonda kwa amri ya Magufuli??

Mbona Samia ndiye aliyemfuata Belgium alimpokimbia Magufuli baada ya uchaguzi wa 2020 na kisha akamfutia kesi 3 alizokuwa anashtakiwa na kisha kuanza kumlipa mafao yake ya ubunge?

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, hakuna mtu aliyefanyiwa mema na Samia katika wapinzani kumzidi Tundu!! Tundu amejiingiza mwenyewe matatizoni kwa kusema atazuia uchaguzi na kukinukisha. Hakuna Serikali hapa duniani itakuacha uvuruge amani bila kukuchukulia hatua. Muache aendelee kunuka Ukonga
Hawataki kabisa kusikia mtu anakumbusha wema ambao Samia alimfanyia Lissu.
 
Hakuna marefu yasiyo na Nchi, haki haijawahi kushindwa pia, ni swala la muda tu.
 
Basi sawa tumwacheni aendelee kukunja ngumi Mahakamani kwa nguvu za Ugali wa Serikali iyo iyo!!!!

Siku Serikali ikichelewesha kupeleka Unga magereza !!!!

haaaaa kitambi ndio kitaongea Mahakamani!!!!!!!
 
SAMIA SULUHU nakuhakikishia mbele ya Mungu, suala la LISSU litakufanya umalize sehemu ya maisha yako kwa dhiki kubwa iliyojaa tabu na machungu
🙏
 
Hawataki kabisa kusikia mtu anakumbusha wema ambao Samia alimfanyia Lissu.
Tundu ni mtu mgumu sana ku-deal naye. Angalia hata namna alivyomgeuka Freeman Mbowe wakati wa uchaguzi mkuu wa CHADEMA. Bila maamuzi ya Mbowe kutafuta ndege kwende kumtibia Nairobi, Tundu asingetoboa baada ya kupigwa risasi 16 mwaka 2017.

Tundu ni mtu asiye na shukrani kabisa kwa aslimia 100%.!!

Anayebisha anijibu kwanini hata mke wake na familia hwajakuja kumtembelea Ukonga toka alipokamatwa. Kama ni nauli mbona akina Heche/Mnyika wanakusanya TONETONE kila siku?
 
Back
Top Bottom