Lissu aomba apelekwe Dodoma kusikiliza kesi yake dhidi ya AG, Kamishna wa Magereza

SAMIA SULUHU nakuhakikishia mbele ya Mungu, suala la LISSU litakufanya umalize sehemu ya maisha yako kwa dhiki kubwa iliyojaa tabu na machungu
Sawa. Tusubiri basi
 
Hawataki kabisa kusikia mtu anakumbusha wema ambao Samia alimfanyia Lissu.
 
Hakuna marefu yasiyo na Nchi, haki haijawahi kushindwa pia, ni swala la muda tu.
 
Basi sawa tumwacheni aendelee kukunja ngumi Mahakamani kwa nguvu za Ugali wa Serikali iyo iyo!!!!

Siku Serikali ikichelewesha kupeleka Unga magereza !!!!

haaaaa kitambi ndio kitaongea Mahakamani!!!!!!!
 
SAMIA SULUHU nakuhakikishia mbele ya Mungu, suala la LISSU litakufanya umalize sehemu ya maisha yako kwa dhiki kubwa iliyojaa tabu na machungu
🙏
 
Hawataki kabisa kusikia mtu anakumbusha wema ambao Samia alimfanyia Lissu.
Tundu ni mtu mgumu sana ku-deal naye. Angalia hata namna alivyomgeuka Freeman Mbowe wakati wa uchaguzi mkuu wa CHADEMA. Bila maamuzi ya Mbowe kutafuta ndege kwende kumtibia Nairobi, Tundu asingetoboa baada ya kupigwa risasi 16 mwaka 2017.

Tundu ni mtu asiye na shukrani kabisa kwa aslimia 100%.!!

Anayebisha anijibu kwanini hata mke wake na familia hwajakuja kumtembelea Ukonga toka alipokamatwa. Kama ni nauli mbona akina Heche/Mnyika wanakusanya TONETONE kila siku?
 
SAMIA SULUHU nakuhakikishia mbele ya Mungu, suala la LISSU litakufanya umalize sehemu ya maisha yako kwa dhiki kubwa iliyojaa tabu na machungu
Na iwe hivyo. Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…