Pre GE2025 Lissu aombe radhi, asijitoe akili

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tundu Lissu, ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa chama, Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili ya chama, na mtu mwenye ndoto za kuwa rais wa nchi hii,
Raisi? Labda wa Chama chake ama Taasisi ya Uhanarakati.

Kwa maoni ya Watanzanzia wengi nchini, Tundu Lissu abakie na ndoto tu. Hatoweza mikiki mikiki ya Urais. Wanaona makasiriko yake vinyongo na visasi vyake, vitakuja kuligharimu Taifa....yaani aondokane na ndoto hiyo. Hachaguliki.

Naunga mkono mtazamo huo, Tundu Laigwanaan Lissu hatoweza kuwa Rais wa Nchii hii. "Tutashitakiwa".
 
CHADEMA WAMKALIA KOONI LISSU NI MNAFIKI AOMBE RADHI - ASIJITOE AKILI

Kamati kuu CHADEMA imemuhoji Makamu Mwenyekiti na mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Tundu Lissu kwa kuudanganya Umma kuwa haku kukubaliana na uamuzi wa kumwalika Rais Samia Suluhu Hassan kama mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika tarehe 8 Machi mwaka 2023.

Wakati Mwaliko huo kutoka CHADEMA kwenda kwa Mheshimiwa Rais ulijadiliwa na Kamati Kuu ya CHADEMA na Lissu akiwa mjumbe alibariki ujio wa Samia kamati kuu.

Lissu ameulizwa na wana kamati Tarehe 6 Machi, 2023 wakati akihutubia kwenye mtandao wa Clubhouse alipongeza na kusifia kitendo cha BAWACHA kumualika Rais Samia Suluhu Hassan kama mgeni rasmi kwenye maadhimisho yao ya Siku ya Wanawake Dunian.

Katika mahojiano hayo Tundu Lissu alienda mbali kupongeza kitendo cha Rais Samia kukubali mualiko kwa kusema, “Sikumbuki ni lini mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, ambae siku zote ni rais wa nchi, amewahi kushiriki katika shughuli rasmi ilioandaliwa na chama cha upinzani. Hasa chama kikuu cha upinzani. Wanakamati wanauliza je alikuwa amelewa..?

Tumewasilisha hapa Mawasiliano mbalimbali ya CHADEMA ambayo yamewekwa wazi yanaonyesha kuwa wajumbe pekee wa Kamati Kuu waliopinga rais kupewa mwaliko huo walikuwa John Heche na Godbless Lema.

Tundu Lissu alikuwa katika kundi la wanaokubaliana, ikiwa ni pamoja na Mwenyekiti wao Freeman Mbowe. Hivyo wajumbe wameshangaa leo hii Tundu Lissu akitoka hadharani na kudai ya kwamba hakuafiki uamuzi huo. (Ni Mnafiki)

Wajumbe wamehoji Rais Samia Suluhu Hassan alifanya ziara ya kikazi ambayo ilimpeleka hadi Brussels, Ubelgiji, ambapo wakati huo Tundu Lissu alikuwa akipatiwa matibabu zaidi na alifanya kikao na Tundu Lissu kwa ajili ya mazungumzo.

Kikao hicho kilikuwa cha faragha, lakini baada ya mazungumzo yao, Tundu Lissu aliingia kwenye mtandao wa kijamii Twitter na kuelezea mambo sita waliyozungumza na Rais Samia.

Kati ya hayo sita, viwili vilikuwa pamoja na Rais kuhakikisha kwamba Tundu Lissu anapata stahiki zake, kitu ambacho baadaye Tundu Lissu mwenyewe alikiri kilitendeka, pamoja na Rais kuhakikisha usalama wake pale atakaporejea nchini, jambo ambalo sote tumeona likitokea.

Wajumbe wamerejea historia Lengo ni kuweka rekodi sawa na kudhihirisha kwamba Rais Samia Suluhu Hassan hajawahi kuwa na migogoro binafsi na Tundu Lissu.

Tundu Lissu naye hakuwa na matatizo na Rais wakati ambapo rais alikuwa akijibu maombi yake mbalimbali. Hivyo, si ajabu kuona kwamba hadi mwaka jana, wakati CHADEMA ilipokuwa ikijadili kumwalika Rais, hawakuwa na shida yoyote kati yao.

Kilichotokea katikati ambapo Tundu Lissu alianza kumshambulia rais kibinafsi, Jambo ambalo limesemwa jana kuwa alinyimwa gari aina ya Nissan Y62 aliloliomba. (Chuki binafsi)

Tukirejea sasa swala la Tundu Lissu kudanganya umma na kudai kuwa hakuafiki Rais Samia Suluhu Hassan kualikwa kwenye sherehe zile, kwenye uongozi wa taasisi yoyote iwe ya serikali, chama au kampuni binafsi kuna kitu kinaitwa collective responsibility.

Maana ya collective responsibility ni kuwajibika kwa pamoja kwa maana ya kwamba jambo likisha jadiliwa na kukubaliwa kwenye vikao basi wote mnatoka na kauli moja inakuwaje Lissu atoke hadharani aseme hakubaliani walihoji baadhi ya wajumbe.

Uwajibikaji huu wa pamoja ndio sababu ambayo John Heche na Godbless Lema, ambao walikuwa wanapinga rais kualikwa, hawajawahi kutoka hadharani na kukosoa uamuzi huo.

Sasa pale ambapo Tundu Lissu, ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa chama, Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili ya chama, na mtu mwenye ndoto za kuwa rais wa nchi hii, haielewi maana ya uwajibikaji wa pamoja, inatia wasiwasi ni aina gani ya rais angekuwa kama angepata ushindi katika uchaguzi wa 2020.

Na utovu huu wa kinidhamu na kuto kuheshimu taasisi ambayo yeye ni kiongozi muandamizi sio tu kwenye swala la mualiko wa rais.

Wanakamati kwa kauli moja wamemtaka Lissu kuandika barua ndani ya masaa 72 ya kuomba radhi.
Taarifa ya CHADEMA akiileta humu Erythrocyte ndo ntaamini ni genuine.
 
exit ground and stages. huyo muungwana anaondoka kama sio kuondoshwa b4 2025🐒
 
HABARI YA MCHONGO
 
Chadema kwa style hiyo hamna adabu kila mtu ni kambale yaani nyie kuomgoza nchi sahau
 
Raisi? Labda wa Chama chake ama Taasisi ya Uhanarakati.

Kwa maoni ya Watanzanzia wengi nchini, Tundu Lissu abakie na ndoto tu. Hatoweza mikiki mikiki ya Urais. Wanaona makasiriko yake vinyongo na visasi vyake, vitakuja kuligharimu Taifa....yaani aondokane na ndoto hiyo. Hachaguliki.

Naunga mkono mtazamo huo, Tundu Laigwanaan Lissu hatoweza kuwa Rais wa Nchii hii. "Tutashitakiwa".
Lissu amesahau chadema ilivyompigania kipindi kigumu cha kupigwa risasi. ebu awe na shukrani
 
Tundu A. Lissu, huwa haeleweki kasimamia upande upi, nafkiri bado hajasomeka dhamira au maana yake.
Asikuangaisheni huyo mguu ndani mguu nje ndio maana familia yake ameicha ubelgiji bado ana hadhi ya ukimbizi mpaka leo
 
Mkor
CHADEMA WAMKALIA KOONI LISSU NI MNAFIKI AOMBE RADHI - ASIJITOE AKILI

Kamati kuu CHADEMA imemuhoji Makamu Mwenyekiti na mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Tundu Lissu kwa kuudanganya Umma kuwa haku kukubaliana na uamuzi wa kumwalika Rais Samia Suluhu Hassan kama mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika tarehe 8 Machi mwaka 2023.

Wakati Mwaliko huo kutoka CHADEMA kwenda kwa Mheshimiwa Rais ulijadiliwa na Kamati Kuu ya CHADEMA na Lissu akiwa mjumbe alibariki ujio wa Samia kamati kuu.

Lissu ameulizwa na wana kamati Tarehe 6 Machi, 2023 wakati akihutubia kwenye mtandao wa Clubhouse alipongeza na kusifia kitendo cha BAWACHA kumualika Rais Samia Suluhu Hassan kama mgeni rasmi kwenye maadhimisho yao ya Siku ya Wanawake Dunian.

Katika mahojiano hayo Tundu Lissu alienda mbali kupongeza kitendo cha Rais Samia kukubali mualiko kwa kusema, “Sikumbuki ni lini mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, ambae siku zote ni rais wa nchi, amewahi kushiriki katika shughuli rasmi ilioandaliwa na chama cha upinzani. Hasa chama kikuu cha upinzani. Wanakamati wanauliza je alikuwa amelewa..?

Tumewasilisha hapa Mawasiliano mbalimbali ya CHADEMA ambayo yamewekwa wazi yanaonyesha kuwa wajumbe pekee wa Kamati Kuu waliopinga rais kupewa mwaliko huo walikuwa John Heche na Godbless Lema.

Tundu Lissu alikuwa katika kundi la wanaokubaliana, ikiwa ni pamoja na Mwenyekiti wao Freeman Mbowe. Hivyo wajumbe wameshangaa leo hii Tundu Lissu akitoka hadharani na kudai ya kwamba hakuafiki uamuzi huo. (Ni Mnafiki)

Wajumbe wamehoji Rais Samia Suluhu Hassan alifanya ziara ya kikazi ambayo ilimpeleka hadi Brussels, Ubelgiji, ambapo wakati huo Tundu Lissu alikuwa akipatiwa matibabu zaidi na alifanya kikao na Tundu Lissu kwa ajili ya mazungumzo.

Kikao hicho kilikuwa cha faragha, lakini baada ya mazungumzo yao, Tundu Lissu aliingia kwenye mtandao wa kijamii Twitter na kuelezea mambo sita waliyozungumza na Rais Samia.

Kati ya hayo sita, viwili vilikuwa pamoja na Rais kuhakikisha kwamba Tundu Lissu anapata stahiki zake, kitu ambacho baadaye Tundu Lissu mwenyewe alikiri kilitendeka, pamoja na Rais kuhakikisha usalama wake pale atakaporejea nchini, jambo ambalo sote tumeona likitokea.

Wajumbe wamerejea historia Lengo ni kuweka rekodi sawa na kudhihirisha kwamba Rais Samia Suluhu Hassan hajawahi kuwa na migogoro binafsi na Tundu Lissu.

Tundu Lissu naye hakuwa na matatizo na Rais wakati ambapo rais alikuwa akijibu maombi yake mbalimbali. Hivyo, si ajabu kuona kwamba hadi mwaka jana, wakati CHADEMA ilipokuwa ikijadili kumwalika Rais, hawakuwa na shida yoyote kati yao.

Kilichotokea katikati ambapo Tundu Lissu alianza kumshambulia rais kibinafsi, Jambo ambalo limesemwa jana kuwa alinyimwa gari aina ya Nissan Y62 aliloliomba. (Chuki binafsi)

Tukirejea sasa swala la Tundu Lissu kudanganya umma na kudai kuwa hakuafiki Rais Samia Suluhu Hassan kualikwa kwenye sherehe zile, kwenye uongozi wa taasisi yoyote iwe ya serikali, chama au kampuni binafsi kuna kitu kinaitwa collective responsibility.

Maana ya collective responsibility ni kuwajibika kwa pamoja kwa maana ya kwamba jambo likisha jadiliwa na kukubaliwa kwenye vikao basi wote mnatoka na kauli moja inakuwaje Lissu atoke hadharani aseme hakubaliani walihoji baadhi ya wajumbe.

Uwajibikaji huu wa pamoja ndio sababu ambayo John Heche na Godbless Lema, ambao walikuwa wanapinga rais kualikwa, hawajawahi kutoka hadharani na kukosoa uamuzi huo.

Sasa pale ambapo Tundu Lissu, ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa chama, Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili ya chama, na mtu mwenye ndoto za kuwa rais wa nchi hii, haielewi maana ya uwajibikaji wa pamoja, inatia wasiwasi ni aina gani ya rais angekuwa kama angepata ushindi katika uchaguzi wa 2020.

Na utovu huu wa kinidhamu na kuto kuheshimu taasisi ambayo yeye ni kiongozi muandamizi sio tu kwenye swala la mualiko wa rais.

Wanakamati kwa kauli moja wamemtaka Lissu kuandika barua ndani ya masaa 72 ya kuomba radhi.
Mkorofi huyo ! Hiyo radhi ndo tiketi ya kuondoka Chadema
 
Utengamano wa uwezo wa kufikiri wa tundu lisu hutegemeana na majira ya mwezi. Mwezi ukiwa kona huyo jamaa yetu anaweza kulipuka na kuropoka kitu chochote mpaka mkashangaa.
Inashangaza kuna watu eti wangependa kuona lisu anakuwa rais siku moja. Yani kichaa akabidhiwe rungu!
 
Chadema imekuwa na image mbaya isiyokuwa ya kizalendo kipindi cha miaka ya karibuni na kimekuwa cha kiharakati zaidi nadhani wakigundua tatizo lao lipo wapi na wakachukua maamuzi magumu mapema watanusurika. Ni vigumu sasa hivi kupata wazalendo kutoka ccm wakahamia chadema ila wanaweza hamia wale wenye makandokando.

Chadema wanaamini katiba mpya ndio itaitoa ccm madarakani, awaamini kuwa chama chao kikiwa bora na kikawa na uungwaji mkono mkubwa na kikaaminika na kila rika na hata baadhi ya wana ccm kukiamini hasa wale wazalendo, wanaweza kuitoa ccm madarakani. Ila kama watakuwa ni watu wakueneza ubaguzi na chuki miongoni mwa watanzania ni wataishia kupata madiwani na wabunge.
 
Wanakamati kwa kauli moja wamemtaka Lissu kuandika barua ndani ya masaa 72 ya kuomba radhi.
Umesahau kitu kimoja.
Ulikuwepo kwenye kikao hicho cha Kamati kuu ya CHADEMA ; maanake hujataja popote hizi taarifa umezipata wapi.

Lakini nikueleze jambo moja, kadri mnavyozidi kuhangaika hivi, ndiyo mnavyozidi kuwaonyesha waTanzania uwezo wenu mdogo wa kupambanua mambo.

Katika andiko lako lote refu, hakuna hata mahali pamoja ulipoweza kuonyesha kwamba Lissu ni mnafiki.

Kinachojitokeza waziwazi katika andiko hili, ni ile tabia ile ile anayoitumia Samia; tabia ya ulaghai, udanganyifu, hadaa nyingi.

Samia alipokuwa amefanikiwa kumnasa Mbowe kwenye yale "Maridhiano" hewa; sasa mnatumia ulaghai huo huo kutaka kuueneza uonekane hata akina Lissu walikwisha ukubali. Mbowe kastuliwa, sasa sijui mtatumia mbinu gani kuwalaghai tena CHADEMA.
 
Mbona Lissu alishanasa kwenye mqridhiano na akapewa na mafao yake hata kabla ya mwenyekiti?

Au zile perepete za stejini ndio zinakufanya uamini vinginevyo?
 
Katika mahojiano hayo Tundu Lissu alienda mbali kupongeza kitendo cha Rais Samia kukubali mualiko kwa kusema, “Sikumbuki ni lini mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, ambae siku zote ni rais wa nchi, amewahi kushiriki katika shughuli rasmi ilioandaliwa na chama cha upinzani. Hasa chama kikuu cha upinzani. Wanakamati wanauliza je alikuwa amelewa..?
Huku ndiko kusifia unakokusema au kuna mengine zaidi? Sioni kusifu kwa aina yoyote hapa.
Kinana kashindwa, nyinyi kweli mtaweza?
 
Back
Top Bottom