Ahsante,sema mimi pasaka nimeisha ianza zamani maana kwa utamaduni wa mwana wa Afrika ni kila baada ya mweziTuendelee na maandalizi ya Sikukuu ya Pasaka ndugu yangu
Karibu Jumapili tufurahie kufufuka Kwa Mkombozi wetu Kristo
Ukirudi nyumbani watoto wanakuita baba?View attachment 3308532
Tuliwaambia Lissu mzee wa Madili hamkutuelewa. Sasa endeleeni kukunja ngumi. Mwenzenu yuko anapiga dili..haya sasa mnakwenda gerezani wakati mwenzenu hayupo.
Zingatia na ufahamu nini nimeandika na kilichonifanya nikatuma hiyo picha usikurupuke mimi siwakulipiwa bando ili nitetee ujinga humu kama nyinyi mnavyofanyiwa huko lumumba.Kwahiyo huu ndiyo ushahidi ambao CHADEMA tunaenda kuutumia dhidi ya mashtaka yanayo tukabili?
Imekukolea hiyo povu si habaMtazunguka kwenye makarandinga ya polisi mpaka mkome, mbwa nyie
Mbowe CCM na G55 Polisiccm wanajua alipo
Haya ni maneno ambayo namwomba Mh. TAL aya-quote kwenye hiyo hukumu yakeDuring my lifetime, I have dedicated my life to this struggle of the African people. I have fought against white domination, and I have fought against Black domination. I have cherished the ideal of a democratic and free society in which all persons will live together in harmony and with equal opportunities. It is an ideal for which I hope to live for and to see realised. But, my Lord, if it needs be, it is an ideal for which I am prepared to die.... Nelson Mandela
Mwaka huu tuko wote kwenye no reform no election,Mimi sio mbinafisi,wanayo yapigia kelele chadema yatanufaisha Hadi kizazi changuUmekuwa tofaut mkuu kimtazamo. Maana tunajua wewe ni Team CCM damu damu..big up sana mkuu
We mwehu acha ushabiki km zombie, huyo nyau si ni yuleyule wa 2020 aliyekimbilia ubalozi wa Ujerumani akatokomea Ulaya? We hujui maana ya dola, ustaarabu wa Rais ulikuwa unamlinda. Huyo ni nyau mdg sn hakuwahi ht kuwa na kacheo, aliyekuwa Rais wa Zanzibar aliwekwa kizuizini mpk anakufa, huyo nyau ni nani
Mom akoWe mwehu acha ushabiki km zombie, huyo nyau si ni yuleyule wa 2020 aliyekimbilia ubalozi wa Ujerumani akatokomea Ulaya? We hujui maana ya dola, ustaarabu wa Rais ulikuwa unamlinda. Huyo ni nyau mdg sn hakuwahi ht kuwa na kacheo, aliyekuwa Rais wa Zanzibar aliwekwa kizuizini mpk anakufa, huyo nyau ni nani.
Hana akliZingatia na ufahamu nini nimeandika na kilichonifanya nikatuma hiyo picha usikurupuke mimi siwakulipiwa bando ili nitetee ujinga humu kama nyinyi mnavyofanyiwa huko lumumba.
Hizo shule zenu sijui mlitumia ufahamu gani.
Makosa yapi ya lisu? Lisu ana kosa?Kwahiyo Siasa ni kusema tuvuruge uchaguzi? Kusamehewa kwa Mh.Mbowe akuwezi kuhalalisha makosa ya Lissu..
Unaweza kuta ni mgonjwa amezidiwa na walifanya ujeuri kumpa dawa zake sasa kimeuma..!
Kisaa kya MauTia Sururu tu pumbavu huyu domo.
Serikali inakosea sana,kama GAIDI anasamehewa na kuitwa IKULU,hii ni hatari sana,ngoja tuone na kwa MHAINI.Kwahiyo Siasa ni kusema tuvuruge uchaguzi? Kusamehewa kwa Mh.Mbowe akuwezi kuhalalisha makosa ya Lissu..
We mchepuko tuliaAcheni.kulia lia.Mchuma janga hula na wa kwao.
Nashangaa kabisa na yamo mengi sana humu yaani unamkote na kumchalenge hoja yake yeye analeta ngonjera nyengine amabzo haziendani na hoja ya ulimchalenjia.Hana akli
Kung'amua jambo dogo lashindwa.