Of course, ile miaka 4 aliyokaa nje akijiuguza ndiyo ilitumika kutengeneza networksInawezekana but itakuwa ni win win situation sidhani kama atakubali kitu kwenye plate sababu kuu ni karba yake Tabia haibadiliki , na Lissu inaonekana alijioanga muda mrefu nje kabla ya ndani Kimataifa ana back up kubwa sana kuliko mwanasiasa yeyote kutokea Tanzania
Nafikiri kwake ni mabadiliko hataki kingine maana alishawahi kufa Hana Cha kupoteza Wala Cha kufurahia
Kwani limetokea bila ya yeye kujua? I don't think so.Nafikiri kuna some terms (mazungumzo) watakuwa wanafanya na Ofisi kubwa ili kujaribu kulimaliza hili kabla ya hearing.
Hili jambo linamchafua sana her excellence both internally and externally
Huenda alipewa taarifa likiwa limeshatendekaKwani limetokea bila ya yeye kujua? I don't think so.
17 march 2021Laana ya kushangilia kifo cha Magufuli
Pasaka njemaHoja gani ambayo uliijibu?
Pole mkuu naona bado una omboleza.Walioshangilia kifo cha Magufuli kwa 99% wana matatizo ya akili ni vile tu madaktari hawajathibitisha.
Na matokeo ya dhambi waliyoifanya ndio maana mambo yamewageukia sasa badala ya kupambana na mwanaume mwenzao sasa wananyanyaswa na mwanamke na hawana uwezo wa kumfanya chochote hao MAKHALUUKU TABU.
Na wanaomtesa ni kwa ajili ya nini? Una shida sana nduguMateso yote kwa ajili ya pesa na madaraka wanadamu tuna shida sana 😃
Kwahiyo watu waendelee kukosea kisa watapewa msamaha na kuitwa Ikulu?Serikali inakosea sana,kama GAIDI anasamehewa na kuitwa IKULU,hii ni hatari sana,ngoja tuone na kwa MHAINI.
Tuambie Mh.JajiMakosa yapi ya lisu? Lisu ana kosa?
Huoni kama ni hatari kwa nchi,endapo inatangazwa kua KUNA GAIDI au MHAINI halafu mwisho wa siku inasemwa kua kesi imefutiliwa mbali na gaidi au mhaini anaachwa nje?Kwahiyo watu waendelee kukosea kisa watapewa msamaha na kuitwa Ikulu?
Baada ya paska anatoka!Hamna uhaini wowote hapo, kuhangaika na wapinzani tu
Nafikiri kuna some terms (mazungumzo) watakuwa wanafanya na Ofisi kubwa ili kujaribu kulimaliza hili kabla ya hearing.
Hili jambo linamchafua sana her excellence both internally and externally
Magufuli ndiye alitaka kumuua halafu nyie wajinga mnageuza mambo. Mungu siyo wa kuchezewa lakini...Laana ya kushangilia kifo cha Magufuli
Kwa Sasa hakuna Kiongozi mstaafu au aliye serikalini mwenye influence labda kwemye korido zao lakini Kwa wananchi hakuna tuombe tu Jeshi lisije ingia tamaa au kuchoka na kama Jeshi likifanya yake asilimia 100 ya wananchi wataliunga Mkono sababu wananchi wamechoka sana na SerikaliOf course, ile miaka 4 aliyokaa nje akijiuguza ndiyo ilitumika kutengeneza networks
Na to be honest, the guy has connections and influences
Kitu ambacho wapenzi wengi wa Siasa humu, hasa GenZ ambao wengi wanatumika na baadhi ya Wabunge na Mawaziri kama Machawa
Hiyo agenda ya Lissu ina baraka za deep state
Na wanafanya kumtumia kupush hiyo agenda baada ya kuona hakuna mwenye nia ya dhati wa kutoa Katiba mpya na Vijana wengi wamelala Kwa kuangukia kwenye Uchawa na Simba na Yanga zao
Wameona bora Katiba mpya ipatikane ili Nchi iendelee kuwa na amani Kwa kuwa na Katiba imara on the coming years
Maana wote mtakuwa mnakumbuka lile Saga la Uchaguzi wa ndani ya Chama Mwaka 2015 hadi Ben kuingilia kati
Pamoja na ule Uchaguzi wa Mwaka 1995 hadi Mwl akaingilia kati
Kama hawa Wazee wataondoka 5 to 20 years to come, anaweza asitokee Kiongozi mwingine mwenye influence na mandate kama Mwl Mwaka 1995 na Ben Mwaka 2015
Ndiyo maana wanahangaika kuweka sawa mazingiraWashauri wake wamendanganya tena
Wewe ni poyoyo na mpumbavu alishangilia wapi akiwa kitandani Hoi.Laana ya kushangilia kifo cha Magufuli
Sio hili Jeshi la Sasa ambalo wale top layer nao wanakula Kwa urefu wa KambaKwa Sasa hakuna Kiongozi mstaafu au aliye serikalini mwenye influence labda kwemye korido zao lakini Kwa wananchi hakuna tuombe tu Jeshi lisije ingia tamaa au kuchoka na kama Jeshi likifanya yake asilimia 100 ya wananchi wataliunga Mkono sababu wananchi wamechoka sana na Serikali