DOKEZO PreGE2025 Lissu aondolewa Keko. Anapelekwa wapi?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Unajua CCM imesha changanyikiwa sasa.
Yani uzuri wa lissu hata ukimuweka gereza lolote kwa ushenzi wa mahakama zetu zinazotesa haki za watu wengi watakuwa kimbilio kwake ndio maana haya yametokea.

Labda waka muweke ikulu na huko nako kitawashida.
 
Kwa $2500 tu unauhakika wa kumiliki BST 1000 na ukaenda Dubai 🛫 kwa siku 4 utashukia 5 ⭐ Hotel utakutana na CEO wa project ya Beastborne Ecosystem 🎯
Uta experience vitu lukuki kwanzia mwanzo wa safari mpaka mwisho na ukiwa ndani ya Dubai.

Nina uhakika utakula vyakula ambavyo hujawahi kula pia mazingira ambayo hujawahi kuyaona lakini zaidi ni kukutana na Madevelopers wa Project ya Beastborne Ecosystem...

Unaanzaje kukosa offer hii??
SEE YOU AT SUCCESS 🛫
@Augustine_Soka
 

View: https://youtu.be/E-2p2AQSpno?si=VGgQYzgYSkRbUL3AMkanganyiko juu ya mganganyiko...

No organization, ni kukwepana, kukanyagana na kulumbana mbele kwa mbele serikalini, polisi na magereza...

Tundu Lissu kaingiza aina fulani ya ukichaa ndani ya serikali. Mnara wa Babel unaporomoka kwa kasi ya ajabu kwelikweli....

Mkuu wa Jeshi la Magereza anasema anachojua Tundu Lissu yuko hapo gereza la Ukonga...

Na kama hayupo, basi aulizwe mkuu wa Gereza la Ukonga aseme yuko wapi...

Na muda si mrefu humu kuna member wa JF kwa jina la Impactinglife amekuja na uzi kuwa Tundu Lissu amechukuliwa na kwenda sehemu isiyojulikana kwa "negotiation" ya namna ya kuyapatia majibu madai ya CHADEMA kupitia kauli mbiu ya NO REFORMS NO ELECTION ..

Akasema, Rais Samia Suluhu Hassan hana nia ya kumuua Tundu Lissu, sio mpango wake..

Sasa unganisha dots hapo na jibu fupi la huyu mama ambaye ni msimamizi wa askari magereza wote na magereza yote Tanzania...

It's obvious kwamba, kwenye mioyo na nia za "chawa wa mama Samia" kumbe wao wanataka wamkate kichwa, waue....!!!!!!????

Loooh, hawa watu ndio wanyama kiasi hiki..? Wanataka kuiamusha "roho ya uasi ya wananchi" kwa lazima siyo...????
 
Hii inaonesha TISS hawafanyi kazi inavyotakiwa, TISS kazi yao ni kumshauri Rais na sio kumruhusu Rais ajiharibie. Tukikumbuka enzi za kikwete Mbowe alimwita RAIS hamnazo na hakufanywa chochote. Enzi zile kulikuwa na ufisadi lakini ufisadi wote ulifichuliwa. Sasa unamkamata na kumfungulia kesi mtu aliyepigwa risasi zaidi ya 60. Hata mlevi wa gongo atakuona mjinga. Kama Usalama wameshindwa kazi namshauri mama afunge masikio na amsikilize Kikwete na amuulize aliwezaje kuishi na wapinzani kwa amani ?
 
Mkuu hivi kwa nini huwa mnawapa TISS sifa wasizo stahili? Hiyo taasisi ina watu wa kawaida sana walio jaa majungu tu. Wanaweza mambo madogo tu, hayo makubwa wanao weza kumsaidia Rais ni vingozi wastaafu, wasomi na viongozi wa dini. Hao TISS waondoe kwenye mawazo yako kwamba wanaweza saidia lolote la maana katika Taifa hili.
 
si ukute analala nyumbani, umweke lisu gereza la kibongo na afya yake ile akifa utajibu nini kwa umoja wa kimataifa? si ukute wamejiongeza aende tu home ila siku ya kesi atabebwa na kuonekana katokea gerezani.
 
Chimbuko la TISS ya sasa ni UVCCM unategemea nn hapo??
 
Huyo msemaji wa magereza anapaswa kuondolewa maana hana weledi wowote ule. Unaisemeaje taasisi ukiwa hunaufahama wa mambo mengi kama muuza nazi kule nanjilinji.
 

Mkuu kumbuka Kazi ya TISS ni kushauri Taasisi ya Urais Kipi kinapaswa kufanyika lakini Maamuzi anafanya Raisi kwa utashi wake na Washauri wake.

TISS wakiamua kumlazimisha afanye kitu fulani ni kupoka Madaraka yake ya kikatiba.
 
Huyo msemaji wa magereza anapaswa kuondolewa maana hana weledi wowote ule. Unaisemeaje taasisi ukiwa hunaufahama wa mambo mengi kama muuza nazi kule nanjilinji.

Ni aibu kwa kweli.

Sawala Nyeti kama hili yeye alalopoka lopoka tu, Hajui ni kwa namna gani lina reflect utendaji wa Jeshi La magereza na serikali kwa ujumla.

Au ndo matokeo ya kupena vyeo on gender bases.
 
Ndugu sijaipa sifa TISS maana nimebainisha hapo juu kuwa TISS haifanyi kazi inavyotakiwa. Maana kama ingekuwa inafaya kazi haya mambo yangeshaisha zamani sana. Najua mwenda zake aliiharibu kwa kujaza watu wasio na vigezo . Kuna kipindi Tanzania ilikuwa inaheshimika Tanzania , Dar es salaam ilikuwa Berlin ya Afrika kipindi cha coldwar. Tulikuwa na TISS ya kiwango cha juu mpaka tuliwasaidia Biafra, Angola, Msumbiji, Namibia , Ghana na Afrika kusini. Leo hii Bandari zote zimeuzwa na TISS wapo ? Aliyemnasa vibao Jaji Mstaafu aliyekuwa Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameteuliwa kuwa mkuu wa mkoa na TISS wapo ? Kuna upendeleo wa jamii ya kizanzibari katika teuzi zote za serikali. Na mbaya zaidi wanaoteuliwa hawana sifa na TISS wapo ? Kuna mambo mengi sana chief ambayo yanadhihirisha kuwa nchi haina kitengo cha usalama. Wassira anateuliwa na TISS wapo ? Are we serious kama nchi kweli ?
 
Huyo msemaji wa magereza anapaswa kuondolewa maana hana weledi wowote ule. Unaisemeaje taasisi ukiwa hunaufahama wa mambo mengi kama muuza nazi kule nanjilinji.
Hatuna kitengo cha Usalama cha kushauri na kupanga hatua za kuchukua. Nchi ingekuwa na TISS imara haya yote yasingetokea. Maana kuiendesha nchi inawezekana Rais akakosea na Usalama ndio husimama na kumwambia ukweli na kumshauri.
 
Mkuu kumbuka Kazi ya TISS ni kushauri Taasisi ya Urais Kipi kinapaswa kufanyika lakini Maamuzi anafanya Raisi kwa utashi wake na Washauri wake.

TISS wakiamua kumlazimisha afanye kitu fulani ni kupoka Madaraka yake ya kikatiba.
Pointi yangu ni kuwa hatuna TISS imara maana walio huko ndio waliowekwa na JPM na hawana sifa. Miaka ya 80 tulikuwa na TISS imara mpaka tukasaidia nchi nyingi kujikomboa afrika. Lakini leo wakija kutembelea Tanzania ni aibu .
 
T
Taharuki ni kubwa Sana, hili jambo linaweza kuleta mgawanyiko kwa jamii yetu, dalili ya mvua ni mawingu..
 
CCM wamesema wanataka wamrudishe kwao Ubelgiji, anawatia hofu mno eti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…