DOKEZO PreGE2025 Lissu aondolewa Keko. Anapelekwa wapi?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mkuu salute mingi sana
 
Hata Maria Magdalena alipofika kwenye kaburi la Yesu aliambiwa hayupo kaburini amefufuka "kwanini munamtafuta aliyefufuka katika wafu" ? Lissu kuna kitu kikubwa Cha Kimungu amebeba
 
Unajaribu kuwaza kwa hali ya Lissu what if akapata changamoto za ghafla za kiafya na akatutoka akiwa mikononi mwao.

Serikali ijitahidi sana kutokuwa na michezo ya shilingi chooni.
 
Ingekuwa nchi za watu wanajielewa leo hii Lissu angekuwa tayari Rais kama alivyotokea Rais wa Senegal,bahati mbaya amezaliwa kwenye nchi ya matahira pole yake.
Angalia anahenya gerezani mwenyewe ana wangaikia hata hawana habari nae,katika kitu nyerere aliharibu hii nchi ni watu kuwa waoga-Magufulu akamalizia kabisa kwa kuondoa ule ujasiri ambao ulikuwa unatejra.
 
Matokeo ya kuwapa division 4 silaha na nguvu ya kufanya maamuzi.
Acha kuwalaumu Polisi wao wanafuata maelekezo kama ambavyo ww unafuata maelekezo ya boss wako.Laumu kaka zako,Mama,Baba,nduguzo,jirani,na rafiki zako kwa kuwa waoga na matahira kwa kushindwa kupigania haki zao na kukubali kuishi kwenye umaskini unaosababishwa na mfumo
 
Mungu Wa Mbinguni.. alimjua Lissu kabla hajazaliwa. Malaika mbinguni wanalo jukumu la kumlinda Hadi hapo kusudi la Mungu litakapotimia.
 
Chadema tunalitaka Jeshi la Magereza, mamlaka husika na vyombo vya dola kutoa taarifa wazi na za haraka kwa umma kuhusu mahali alipopelekwa Mhe. Tundu Lissu. Iwapo bado anashikiliwa katika Gereza la Keko, ni haki ya familia, viongozi na wanachama kumuona - ni haki ya msingi ya kibinadamu na kikatiba
 
Juzi nikiwa mwananchi nilimuona akiwa kwenye gari la magereza asubuhi anapelekwa usawa wa kibaha kule
 
Unajaribu kuwaza kwa hali ya Lissu what if akapata changamoto za ghafla za kiafya na akatutoka akiwa mikononi mwao.

Serikali ijitahidi sana kutokuwa na michezo ya shilingi chooni.
If this is a will of his God .No body can do What Lisu God dont want to happens..So it is writen and So Lets it be done🙏🏽
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…