Mkuu labda uwe unanufaika na mfumo wa CCM ila kwa sisi wananchi wa kawaida tunajua umuhimu wa kuwa na na upinzaniANDAMANENI.Mkione cha moto.Mbona mnalia lia.
ANDAMANENI.Mkione cha moto.Mbona mnalia lia.
Hilo refu la 3. 😀😀Lipi kati ya hayo matatu Mkuu?
Utakufa wewe kabla ya Tundulisu MUNGU siyo wa MchezoWe mwehu acha ushabiki km zombie, huyo nyau si ni yuleyule wa 2020 aliyekimbilia ubalozi wa Ujerumani akatokomea Ulaya? We hujui maana ya dola, ustaarabu wa Rais ulikuwa unamlinda. Huyo ni nyau mdg sn hakuwahi ht kuwa na kacheo, aliyekuwa Rais wa Zanzibar aliwekwa kizuizini mpk anakufa, huyo nyau ni nani.
Mimi nafuata maelekezo ya boss gani?Acha kuwalaumu Polisi wao wanafuata maelekezo kama ambavyo ww unafuata maelekezo ya boss wako.Laumu kaka zako,Mama,Baba,nduguzo,jirani,na rafiki zako kwa kuwa waoga na matahira kwa kushindwa kupigania haki zao na kukubali kuishi kwenye umaskini unaosababishwa na mfumo
Kwa yale yaliyotokea Dodoma Mwezi January, Mhe. asidhani vita vimeishaHilo refu la 3. 😀😀
Mkuu Malaria Sugu, Kambona anaingiaje hapa? Ebu tujuze connection yake.Historia ya dunia hii ukae kimya. Kambona aliwacheka akina sheikh Takadir na kuwaita majina ya ajabu, siku ya siku Kambona tanzania akiisikia ktk redio
Mkuu, areje kivipi, kwani Mh.J.H hayupo, mbona anaweza tu.Polisiccm wanahaha cha kujibu maswali mahakamani wanatamani kumwachia huru hata mda huu lakini mbowe G55 na kamati ya Rohombayaccm wanataka afie jela ili Mbowe arejee kuwa mwenyekiti wa chadema tena
Malaria 2 not malaria sugu.Mkuu Malaria Sugu, Kambona anaingiaje hapa? Ebu tujuze connection yake.
Unapenda kuua- waswahili walisema auae kwa upanga......Tia Sururu tu pumbavu huyu domo.
Gaidi au mhaini lazma azibitishwe na mahakama mkuuHuoni kama ni hatari kwa nchi,endapo inatangazwa kua KUNA GAIDI au MHAINI halafu mwisho wa siku inasemwa kua kesi imefutiliwa mbali na gaidi au mhaini anaachwa nje?
Au ile kauli ya MAKALA na EBOLA huoni ni siasa za kijingajinga na inaweza kufanya wageni wakahofia kuja nchini?