Kupotea hivi hivi sio rahisi as Dunia yote inajua kwamba Serikali ndiyo imem-detainMuhimu kwanza ijulikane kapelekwa wapi. Kimasihara tu unashangaa ndo kapotea moja kwa moja
Kabisa mkuu walikuepo wengi sema muda ulikua hauja fika. Sema wamepotezwa wengi pia huyu alijua muda upi na mahala gani akifika anaweza kuonesha alichonacho kwa ukubwa huu. Angekua mtu wa chini wangesha muua siku nyingiKimsingi nchi yetu ilichelewa sana kumpata mtu aina ya Tundu Lissu, ambaye ni jasiri, mpambania haki na pia mzalendo kwa nchi yake! Huku akiwa na ushawishi mkubwa wa kisiasa ndani na nje ya nchi.
Soda's Power hamna uwezo wa kufanya lolote , endeleeni kulialia mitandaoni.Wapo wapi akina idd Amini Dada, Mabutu, bokasa, sadam Hussein magu na wenzao? Uchawaccm wako usikufanye kujitoa fahamu kuharalisha vitendo vyenu haramu vya kishetani
Mkuu kutoa tu taarifa kunatosha sana,tosheka na hilo na shukuru umepata hiyo taarifa.U
Ungewauliza ingefaa zaidi.
Akiweka nitagHuna hiyo jeuri
Weka jina lako hadharani uone kama wewe una ujasiri kima.
jitahidi kutofautisha ujinga na upumbafuMadai ya mh rais kuchafuliwa na swala hili hayana msingi wowote.
Lisu ni mmoja wa maelfu ya watuhumiwa wa uhalifu walioko huko magerezani ambao uwepo wao magerezani hauna athari ya aina yoyote kwa heshima ya mheshimiwa rais.
Lisu sio mtuhumiwa pekee ambaye yupo gerezani.
Huko gerezani yupo na wenzake wengi tu kwahiyo mwacheni apambane na hali yake hadi siku ya kutoka atakuwa ana adabu kidogo kama ilivyokuwa kwa freeman Mbowe alivyokaa gerezani miezi kadhaa akatoka akiwa na adabu kiasi.
Kuna zidi kuwa usku kuashiria pambazuko lipo karibu
Hao ndio wanajiita wakombozi huku wakitumia majina feki 😂😂Akiweka nitag
Akifa nani anarithi uenyekiti??G55 akina kileo yericko Nyerere na Kileo watapeleka sumu huko alipo, mungu amlinde kwani G55 wanamwombea afe
😆😆😆Hao ndio wanajiita wakombozi huku wakitumia majina feki 😂😂
Mungu hamtupi mja wake.Kabisa mkuu walikuepo wengi sema muda ulikua hauja fika. Sema wamepotezwa wengi pia huyu alijua muda upi na mahala gani akifika anaweza kuonesha alichonacho kwa ukubwa huu. Angekua mtu wa chini wangesha muua siku nyingi
Amina mkuuMungu hamtupi mja wake.
Una akili fupi lisu auwawe kienyeji hivyo!?FOR EXECUTION? ISJEKUWA WANAKWENDA KUMUUA
Ccm hawanaga akili mkuuUna akili fupi lisu auwawe kienyeji hivyo!?
Inaonekana hujui how politics is na namna Nchi zinavyoendeshwa.Madai ya mh rais kuchafuliwa na swala hili hayana msingi wowote.
Lisu ni mmoja wa maelfu ya watuhumiwa wa uhalifu walioko huko magerezani ambao uwepo wao magerezani hauna athari ya aina yoyote kwa heshima ya mheshimiwa rais.
Lisu sio mtuhumiwa pekee ambaye yupo gerezani.
Huko gerezani yupo na wenzake wengi tu kwahiyo mwacheni apambane na hali yake hadi siku ya kutoka atakuwa ana adabu kidogo kama ilivyokuwa kwa freeman Mbowe alivyokaa gerezani miezi kadhaa akatoka akiwa na adabu kiasi.
Washukuru Mama ni mpole.Una akili fupi lisu auwawe kienyeji hivyo!?
Lazima terms zikikaa vizuri atatolewa na DPP atasema Hana mpango wa kuendelea na hiyo kesiNa inatakiwa akazie hapo hapo