Pre GE2025 Lissu aongea baada ya ushindi CHADEMA, asema Mbowe aliahidi uchaguzi wa huru na haki na ametenda

Pre GE2025 Lissu aongea baada ya ushindi CHADEMA, asema Mbowe aliahidi uchaguzi wa huru na haki na ametenda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbona mambo ya CHADEMA yanakutesa sana? Hata kama wakijiunga na CCM tatizo liko wapi?
si kweli ndungu masumbuko, usiwapotoshe wadau,

mimi ni mtaalamu wa siasa na kwahivyo siasa haiwezi kunibabaisha ndugu yangu masumbuko 🐒
 
Hakuna ubishi kuwa Lissu ni msomi wa kiwango cha juu kabisa. Kutokana na majukumu mapya aliyopewa na wanachama wa CDM, anatakiwa awe kiongozi anaeamini katika;
1. Aache kutuhumu bila kuwepo kwa ushaidi.
2. Amwombe Mzee Mbowe Msamaha hadharani kwa kumwita mla rushwa.
TL akimtuhumu mtu anakuwa na ushahidi,akurupuki hovyo,ndo maana wameshindwa kumshitaki.
 
Back
Top Bottom