Uchaguzi 2020 Lissu aonya juu ya mkakati wa nia ovu ya kumuengua baada ya watawala kupagawa kwa kimbunga chake mikoani, asema hilo halitofanikiwa

Mkuu hivi yule Pumba na yeye huwa anafikisha hao 200 kwenye kila mkoa?
 
Zitto kashasema wakifanya hivyo kwa tuhuma za kubumba basi uchaguzi hautofanyika.
 
Nilikuwa kijijini juzi. Kati ya watu 100 wanaomjua lissu ni watatu, hawezi kuwa Raisi
Ndugu matanga, kama ni kweli hiyo hoja yako, unaweza niambia ulitaka wamjueje wakati walikatazwa kufanya siasa, au hulijui hili? Sasa siasa ndiyo zinaanza, baada ya muda rudi tena huko porini kwenu ufanye tena huo utafit uchwara wako
 
Yaani kumchagua lisu tumepotea sana wanachadema
Lisu ana akili nyingi sana lakini hana hekima kabisa
..afadhali ya nyarandu mara mia kuliko lisu
Naomba msinifokee maoni yangu tu..
Upo sahihi Lissu kwenye suala la hekima ana mapungufu kidogo.
 
Ha ha jamaa ana akili sana..kweli unaanzaje kampeni wakati hujateuliwa?
Mchezo wa mpira unaanza kuchezwa baada ya kipenga cha kwanza cha Refa na kumalizika kwa kipenga cha mwisho na siyo baada ya kuingia uwanjani na kuanza kupiga mpira golini hayo ni mazoezi tu. Timu zetu za mpira hushinda kabla hata hazijaingia uwanjani na baada ya mchezo walioshinda wanafurahi walioshindwa wanalalama Uwanja haukuwa mzuri au ile mvua ilisababisha wafungwe lakini kwa mwenye akili atajua sababu ni udhaifu wa timu iliyofungwa kwa sababu timu zote mbili zimetumia Uwanja huohuo na hali hiyohiyo. Akili za Wabongo ni kutafuta sababu zisizokuwepo.
 
Hekima gani unayoitaka?

Hivi huyo magufuli ana hekima?

Hahahaaa.... Aiseee...

Doooh!
Magufuli ana hekima sana ndio maana alimwambia job ndugai awashughulikie wabunge ndani ya bunge na yeye atashughulika nao wakiwa nje ya bunge.
 

Alikuwa anatumia haki yake ya kikatiba kuzungumza mambo ya nchi.

Kwani umeshasikia mahali popote katika mazungumzo ya Lissu akiomba kura kwa wananchi kuwa wananchi naomba kura zenu?

Siku atakapoanza kuomba kura hapo ndo atakapokuwa ameanza kampeni!
 
Umenikumbusha! Ila, MKATA UMEME alikuwa ni Lubuva, tofauti na wa sasa, ambaye hafichi UKADA wake kwa CCM!
Hapana sidhani kama ni kada,kwani ulishawahi muona na kadi ya ccm au kuteuliwa/kuchaguliwa na ccm katika nafasi yoyote ile?,mkuu ngoja tusubili wananchi watakachoamua,huku wenye mlengo usioegemea upande wowote tukicheki tu matokeo na makopo ya popcorn tu.
 
Haoni mwenzake magufuli abatafuta wadhamini kimya kimya?
 
Alikuwa anatumia haki yake ya kikatiba kuzungumza mambo ya nchi.

Kwani umeshasikia mahali popote katika mazungumzo ya Lissu akiomba kura kwa wananchi kuwa wananchi naomba kura zenu?

Siku atakapoanza kuomba kura hapo ndo atakapokuwa ameanza kampeni!
Uwezi kuita watu nyumbani kwako, ukaanda vinywaji, chakula, DJ, mziki ukapigwa, watu mkaserebuka; halafu ukaita kikao. Hiyo ilikuwa ni party ni simple as that by definition.

Similarly definition ya campaign ni kujinadi kwenye mkusanyiko wa watu wewe ndio unafaa, unabsinisha makosa ya wenzako, unatoa maelezo utafanya nini wakati ukipata nafasi, etc. Popote unapo hutubia umma maswala ya siasa na kuahidi mabadiliko ni campaign by definition.

Na kanuni za tume ya uchaguzi zipo wazi they are self explanatory (literally meant/rule) uitaji kuwa mwanasheria kujua what is permitted and not during this period.

Lissu amekuwa akifanya campaign na yeye anajua kosa hilo ndio maana anatafuta justification ya kusema Magufuli nae alikuwa akifanya kwa miaka mitano which is not true.

Hakuna mwanasheria yoyote huko twitter wale wanazi wa upinzani wataoweza pinga icho liko wazi by definition Lissu ameanza campaign kabla ya muda kwa kanuni za kusimamia uchaguzi zilizotolewa na NEC.
 
Mbona Mbowe haonekani kufurahi, kakasirikia nini?!
 
Naona mnamuogopa Lissu kama Covid-19 inavyoogopwa ulaya
 
Yaani kumchagua lisu tumepotea sana wanachadema
Lisu ana akili nyingi sana lakini hana hekima kabisa
..afadhali ya nyarandu mara mia kuliko lisu
Naomba msinifokee maoni yangu tu..
Nyalandu hamna kitu ni mjanja mjanja
Hana uwezo wa kuchambua mambo
Atawauza asubuhi na mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…