Uchaguzi 2020 Lissu aonya juu ya mkakati wa nia ovu ya kumuengua baada ya watawala kupagawa kwa kimbunga chake mikoani, asema hilo halitofanikiwa

Jamani tutakuja kuingia hasara na huyu mgonbea wetu.Kama NEC wanaruhusu tubadilishe mapema.Wananchi huku wanamshangaa sana namna anavyobeza hii miundo mbinu yote ambayo imetekelezwa kipndi hiki.Wanajiuliza yeye anataka kuleta nini kwa sababu shida za wananchi ni zilezile za maji,umeme,barabara,afya,elimu nk. Wanajiuliza au anataka kugawa pesa kwa kila mtu ili kila mtu atengeneze miundo mbinu yake ?
Jamani hapa kuna tatizo,CHADEMA hawajapata bado mgombea.Badilisheni mapema kama inaruhusiwa
 
Hakika hamtoacha kuweweseka
 
ccm mbona mnachelewa kumbadilisha magu hawezi kushinda safari hii ni Lisu
 
Badilisheni huyo wenu ambaye ameshindwa kuelezea kwa nini ameshindwa kulinda watu na mali zao ambapo wengine hawajulikani walipo.
 
Sasa unafikili atakuwa na hoja gani za maana huyo Tundu!.. 24/7 ni kupinga mambo aliyofanya JPM , anawaona wananchi wajinga! Kiufupi lissu kajawa na chuki na Jpm , na itawa cost cdm!.
 
Upo sahihi Lissu kwenye suala la hekima ana mapungufu kidogo.
Lawama zote kwa viongozi wa Chadema hawampi taarifa sahihi na hali halisi ya nchi kwa sasa, ndiyo maana wakati anahojiwa na chombo cha habari cha Kenya hivi karibuni bado yeye aliendelea kutoa taarifa za kwamba corona bado ipo na inaua watu wengi Tanzania hadi waandishi wa habari waliokuwa wakimhoji wakamshangaa na mmoja wao akamuuliza kama ipo mbona nyinyi viongozi wa Chadema hamvai barakoa? hakutegemea kwa hilo swali akawa na kigugumizi 'therefore na you know" zikawa nyingi sana kutoka mdomoni mwake. Kwa kifupi jamaa ni garasha na kila anapohutubia anapunguza kura badala ya kuongeza, mbaya zaidi viongozi wenzake wa Chadema wanamuogopa kumpa ushauri wa vitu gani muhimu anatakiwa aviongelee kwenye hotuba zake.
 
Lawama zote kwa viongozi wa Chadema hawampi taarifa sahihi na hali halisi ya nchi kwa sasa, ndiyo maana wakati anahojiwa na chombo cha habari cha Kenya hivi karibuni bado yeye aliendelea kutoa taarifa za kwamba corona bado ipo na inaua watu wengi Tanzania hadi waandishi wa habari waliokuwa wakimhoji wakamshangaa na mmoja wao akamuuliza kama ipo mbona nyinyi viongozi wa Chadema hamvai barakoa? hakutegemea kwa hilo swali akawa na kigugumizi 'therefore na you know" zikawa nyingi sana kutoka mdomoni mwake. Kwa kifupi jamaa ni garasha na kila anapohutubia anapunguza kura badala ya kuongeza, mbaya zaidi viongozi wenzake wa Chadema wanamuogopa kumpa ushauri wa vitu gani muhimu anatakiwa aviongelee kwenye hotuba zake
 
unataka kutuambia anaogopwa kuliko Magu anavyoogopwa ccm
 
Ndugu, huyu Tundu watu hawamjui ni nani. Hii naiongelea Kilimanjaro ambako baadhi ya maeneo Chadema wanawika. Wachache wanajua ni mgonjwa kaja juzi juzi tuu na hawajui kama ni mgombea. Na nikisema Lisu wanasema huyo ni muimbaji wa njimbo za injili
Je na wewe unatokea hiyo jamii au wewe watoka jamii nyingine? Kuna muimbaji hapa Tanazani anaitwa Lissu? Kama hakuna tafakari hiyo jamii ni watu wa aina gani.
 
Lissu aache kuweweseka!

Ulitaka anyamaze bila kulitolea ufafanuzi hili linalowa - confuse watanzania?

Kubali tu kuwa, huyu jamaa ni "genius"...

Na kwa hakika, Magufuli na CCM wanatafuta kila namna kumwondoa huyu mtu " ktk njia yao", maana ndicho kikwazo pekee kilicho mbele yao dhidi "evil mission" waliyo nayo kwa nchi na taifa hili....!!
 
Ile ya jana shamba la bibi ni tamasha la wasanii wa bongo na si kampeni eti
 
Wewe ndiyo mpumbavu kabisa. Issue hapa ni kosa la maadili. Ingekua mahakama imetengua uamuzi wa Spika, basi Lissu angerudishiwa ubunge wake. Hivyo, kosa la maadili linaendelea kusimama mpaka leo.

Kwani kosa la maadili linaamuliwa na spika au kamati ya maadili?
 

Hakuna anaebeza haya maendeleo ila si kigezo cha kuimba mapambio kwani maendeleo yalianzia tangu mkoloni na atakaeingia ataendeleza
 
Sasa unafikili atakuwa na hoja gani za maana huyo Tundu!.. 24/7 ni kupinga mambo aliyofanya JPM , anawaona wananchi wajinga! Kiufupi lissu kajawa na chuki na Jpm , na itawa cost cdm!.

Subiri usiwe na haraka hoja zake utazisikia muda ukifika
 
hao sio majasiri ila wana maslahi na yanayoendelea wakiamfanya huo unaouona ni ujasiri.

hao ni wanasiasa, ukitaka kujua tofauti yako na wao jaribu kufanya wanachofanya. hata jamii haitakuunga mkono.

Sent from my G3226 using JamiiForums mobile app
 
Sasa mtu akudhamini tu bila kumwambia japo kwa kifupi utafanya nn..... akili huna hata za kuambiwa unashindwa kutumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…