Jamani tutakuja kuingia hasara na huyu mgonbea wetu.Kama NEC wanaruhusu tubadilishe mapema.Wananchi huku wanamshangaa sana namna anavyobeza hii miundo mbinu yote ambayo imetekelezwa kipndi hiki.Wanajiuliza yeye anataka kuleta nini kwa sababu shida za wananchi ni zilezile za maji,umeme,barabara,afya,elimu nk. Wanajiuliza au anataka kugawa pesa kwa kila mtu ili kila mtu atengeneze miundo mbinu yake ?
Jamani hapa kuna tatizo,CHADEMA hawajapata bado mgombea.Badilisheni mapema kama inaruhusiwa
Jamani hapa kuna tatizo,CHADEMA hawajapata bado mgombea.Badilisheni mapema kama inaruhusiwa