Uchaguzi 2020 Lissu aonya juu ya mkakati wa nia ovu ya kumuengua baada ya watawala kupagawa kwa kimbunga chake mikoani, asema hilo halitofanikiwa

Anaweweseka baada ya kupuuzwa na vyombo vya ulinzi na usalama licha ya kulopoka.
Alijua kwa kuropoka atapata kick ya kukamatwa vyombo vya dolw.
 
Akizungumza mbele ya umati wa wananchi huko Babati, Lissu amesema wamepata taarifa za vikao vya wakubwa na vibaraka wao wanaohofia kimbunga chake huko mikoani.

Lissu anasema mkakati huo wa kumuengua ulijenhwa juu ya hoja mbili.

1. Ya kwanza ni wao kutaka kupitia kichaka cha maadili, kwamba kwa kuwa alifutwa Ubunge na Ndugai kupitia hoja mfu za maadili basi asiruhusiwe kugombea urais. Lissu anasema hoja hiyo wameshaifuta kwa sababu sheria inataka mtu awe amefungwa ndo hilo takwa linakamilika.

2. Pili kuhusu nia yao ovu ya kumuengua kuhusu kuanza kampeni mapema Lissu kasema kuwa kisheria Mtu haanzi kampeni mapema mpaka awe tayari ameshapitishwa na tume huru ya uchaguzi kuwa mgombea na kisha tarehe ya kampeni iwe imetangazwa ndo unaweza kusema kuwa huyu kaanza kampeni mapema! Kama Tume haijapitisha wagombea basi kisheria hakuna cha suala la kuanza kampeni mapema.

Hoja kuntu za Lissu unaweza kuzisikiliza hapa chini:

Kupitia mh tundu lisu nsha anza kuiva kisheria . usije ukanijaribu katika masuala ya kisheria tena. Nasitaki kufokewa kwa hili.
 
Akizungumza mbele ya umati wa wananchi huko Babati, Lissu amesema wamepata taarifa za vikao vya wakubwa na vibaraka wao wanaohofia kimbunga chake huko mikoani.

Lissu anasema mkakati huo wa kumuengua ulijenhwa juu ya hoja mbili.

1. Ya kwanza ni wao kutaka kupitia kichaka cha maadili, kwamba kwa kuwa alifutwa Ubunge na Ndugai kupitia hoja mfu za maadili basi asiruhusiwe kugombea urais. Lissu anasema hoja hiyo wameshaifuta kwa sababu sheria inataka mtu awe amefungwa ndo hilo takwa linakamilika.

2. Pili kuhusu nia yao ovu ya kumuengua kuhusu kuanza kampeni mapema Lissu kasema kuwa kisheria Mtu haanzi kampeni mapema mpaka awe tayari ameshapitishwa na tume huru ya uchaguzi kuwa mgombea na kisha tarehe ya kampeni iwe imetangazwa ndo unaweza kusema kuwa huyu kaanza kampeni mapema! Kama Tume haijapitisha wagombea basi kisheria hakuna cha suala la kuanza kampeni mapema.

Hoja kuntu za Lissu unaweza kuzisikiliza hapa chini:

Serikali dhalimu, inataka kumuweka Sugu asichukue fomu
 
Ni mpumbafu tuu ndiyo anaweza kuamini hayo madudu anayoaminisha manyumbu. Hana sifa za kuwa rais akajipange upya na akawajulishe waliomtuma kuwa uwezekano wa kupata urahis kama alivyotarajia ni hakuna kabisa. Hana sera wala ushawishi zaidi ya kuropoka kwenye kutafuta wadhamini
 
Yaani Lissu anacheza na maneno tu. Anayageuza geuza as if anaongea na wapumbavu. Sheria gani imesema mtu akikiuka sheria ya maadili mpaka afungwe. Atuambie kilichomfukuzisha ubunge ni nini? Rufaa yake aliyokata mahakamani alishinda? Kama hakushinda ina maana maamuzi yanabaki kama yalivyo. Wanachotaka hawa Chadema ni vurugu tu hiyo ndo ajenda yao. Lakini wanajua fika mgombea wao hana sifa za kuchaguliwa kuwa Rais.
Wewe ndiyo mjinga hasa wa sheria. Unafahamu uamuzi wa mahakama kuhuslsiana na shauri la TL kuvuliwa ubunge ulikuwaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
YEYE AMETUMA MAOMBI TUME YA KUGOMBEA KITI CHA URAIS, ANAANZAJE KUWAAMBIA WANANCHI KWAMBA AKIINGIA IKULU, HUYU NI SAWA NA MWANAFUNZI KAFANYA MTIHANI WA KUMALIZA FORM SIX ANAPOKUWA ANASUBIRI MATOKEO, HAWEZI TENA KUANZA KUOMBA KUJAZA FORM ZA KUJIUNGA CHUO KIKUU. LAZIMA ASUBIRI MATOKEO NA AJUE KAMA AME PASS AU LA. LISSU ANAPATA WAPI UTHIBITISHO KAMA TUME IMEMPITISHA??? CHADEMA SIKU ZOTE TUNAWAAMBIA MNAENDESHWA NA MIHEMKO, HAMUWEZI KUCHANGA ZA KUAMBIWA NA ZENU. HALAFU MTASEMA TUME IMEWAONEA WAKATI MMEYAFANYA WENEYWE TENA MMEANZA KUTOA AHADI, MAANA YAKE MNANADI ILANI KABLA YA KIPENGA. TUPA KULE WAJINGA HAWA

Mm nafikiri hiyo sio kampeni kwa sababu tume haijamthibitisha ni sawasawa na wagombea wanaotoa misaada huku wakujuwa wao ni watarajiwa wa kuthibitishwa
 
Wewe ndiyo mjinga hasa wa sheria. Unafahamu uamuzi wa mahakama kuhuslsiana na shauri la TL kuvuliwa ubunge ulikuwaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndiyo mpumbavu kabisa. Issue hapa ni kosa la maadili. Ingekua mahakama imetengua uamuzi wa Spika, basi Lissu angerudishiwa ubunge wake. Hivyo, kosa la maadili linaendelea kusimama mpaka leo.
 
Ndugu matanga, kama ni kweli hiyo hoja yako, unaweza niambia ulitaka wamjueje wakati walikatazwa kufanya siasa, au hulijui hili? Sasa siasa ndiyo zinaanza, baada ya muda rudi tena huko porini kwenu ufanye tena huo utafit uchwara wako

Ndugu, huyu Tundu watu hawamjui ni nani. Hii naiongelea Kilimanjaro ambako baadhi ya maeneo Chadema wanawika. Wachache wanajua ni mgonjwa kaja juzi juzi tuu na hawajui kama ni mgombea. Na nikisema Lisu wanasema huyo ni muimbaji wa njimbo za injili
 
Wewe ndiyo mpumbavu kabisa. Issue hapa ni kosa la maadili. Ingekua mahakama imetengua uamuzi wa Spika, basi Lissu angerudishiwa ubunge wake. Hivyo, kosa la maadili linaendelea kusimama mpaka leo.
Kosa la kuvunja Sheria ya maadili ya viongozi wa umma inapelekwa kwenye baraza LA maadili ya viongozi wa umma,na siyo mahakamani.
 
Nashangaa sana mwaka huu Kamanda Lissu kachukua form wameibuka na hoja jina lake kukatwa na NEC, kwa kweli wanamuogopa sana huyu mwamba. Mbona uchaguzi zingine hakukuwa na huu wimbo, msimtegemee refa pambaneni kama mnauwezo na mnakubalika mtashinda ila sio kwa janja janja hapo mtakuwa mnavuruga amani ya nchi..
 
Wenye nchi hawako tayari kutetea mtu asiyeheshimu sheria ati kwa sababu kasoma sheria, tupa kule
Acheni nidhamu ya uoga wenye nchi ni sisi wapiga kura na ndio tutakaoamua nani atuongoze, sio hizi janja janja zinazoweza kuvuruga amani ya nchi. Acheni ulafi ukishindwa kaa pembeni pisha wengine.
 
Back
Top Bottom