Lissu apinduliwe, ndiyo njia ya kuiponya CHADEMA

Katika maisha tuheshimu vya watu tusijifanye much know kuliko wengne..tuheshimu uzi wa mwingine..
Kama huwezi, tuishie hapo..
Siku yoyote ukianzisha ni tag, iwe kwa kiingereza kiswahili we tag tu
Hata wewe ukishaniambia katika maisha nifanye nini umejifanya "much know" kunizidi.

Hivyo umeshindwa kufuatilia ushauri wako mwenyewe.

Hujathibitisha Mungu yupo bado.
 
Katika maisha tuheshimu vya watu tusijifanye much know kuliko wengne..tuheshimu uzi wa mwingine..
Kama huwezi, tuishie hapo..
Siku yoyote ukianzisha ni tag, iwe kwa kiingereza kiswahili we tag tu
Subiri niwaanzishie uzi mkapasuane huko wewe una uhakika unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
 
Unaijua Fallacy of slippery slope?
Hata kama kweli nimefanya fallacy, hilo halithibitishi Mungu yupo na zaidi linaweza kuwa ushahidi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Unaposema nimefanya fallacy unazidi kutoa ushahidi kwamba Mungu hayupo.

Kwa sababu, katika ulimwengu ambao Mungu huyo yupo hakuna mtu atakayefanya fallacy.

Thibitisha Mungu yupo, acha longolongo
 
Hahahaha
 
Nikuhakikishie tu.
Hata uchaguzi ukiitishwa tena leo. Wana Cdm watamrudisha kwenye uongozi. Na kukiwa na tume huru ya uchaguzi. Ccm hawawezi kumshinda Lissu
 
Nonsensical braying
I wonder if you are a donkey or an ass .
Mtume Muhammad (PBUH) akiishi na manasara na Wayahudi Kwa upendo hata Khalid Ibn Walid alipoteka Jerusalem Karne ya 6 aliishi nao vizuri kwa maelekezo ya Khalifa (RA)
Acha ujuha.
 
Katika maisha tuheshimu vya watu tusijifanye much know kuliko wengne..tuheshimu uzi wa mwingine..
Kama huwezi, tuishie hapo..
Siku yoyote ukianzisha ni tag, iwe kwa kiingereza kiswahili we tag tu
Kwakuwa umejileta kwa jukwaa,utayajua ya jukwaani,hivyo hata humu wapo wanaolalamika kukosa michango kwa mada zao,hapa hata mimi una nichanganya,kuwa unatamani utoe mawazo yako tuu ama utoe mawazo na uchangie mawazo yawengine?
 
Nilichogundua mama ako angekuonea huruma kidogo Ile LAANA yake imekuathiri saana ndugu yangu
 
Sindano ya Ni Reforms imewaingia vilivyo mwanzoni mlifikiri ni nguvu ya soda kadili siku zinavyoenda mnaona No Reforms inahamia huko huko kwenu mnasingizia kuiponya CHADEMA utafikiri ninyi huko ni wazima, wakat mnaparuana na kuvuana nguo kila kukicha
 
mbowe tulia huko chauma ulikokimbilia, chadema hautaiongoza tena ndio imetoka hiyo.
 
Mapinduzi ya nini na tayai mumeshamuwekea sumu ya kumuua taratibu.
 
Kipotee chadema halafu mbogamboga muumie badala ya kufurahia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…