Gypsum Screw
JF-Expert Member
- Jun 10, 2024
- 1,624
- 1,937
kumbe!Ulinzi wa nchi
kumbe!Ulinzi wa nchi
Asalam aleykum waislam wenzangu.
Kwanza niwapongeze kwa kuamka salama,niwape pole wenye madhira,Mungu atawapa tahfif.
Twende kwenye mada,ndugu wanajf,tangu tuingie mwaka mtakatifu wa nchi yetu ambao ni mwaka wa uchaguzi,kumekuwa na matatajio na mambo mengi ya vibweka vya kisiasa.
Mwanzoni mwa mwaka huu,tulishuhudia chama kidogo cha upinzani maarufu chadema kikifanya uchaguzi na kuwasimika wanaharakati lissu na Heche mamlakani,baada ya muda watu hao walianza kufanya maigizo ya kulaghai wananchi kuwa hakuna uchaguzi.
Kutokana na uimara wa ccm,jambo hilo la matapeli lilizimwa kwa mbinu za kisiasa,kupitia making mabingwa kama Komredi Masatu Wasira na wenzake waliotapakaa kila kona ya ulimwengu.
Baada ya Muda yule tapeli Lissu ambaye sasa amezeeka kiumri,alianza kuleta fujo za kuharibu amani ya nchi,lkn pia alidhibitiwa ipasavyo na sasa unasubiriwa ushahidi ili afungwe jela kwa makosa yanayomkabili.
Sasa hoja yangu ni kuwa,sababu ccm ni waumini wa demokrasia ulimwenguni,hatupendi kuona chama kama chadema kinapotea kwenye siasa kama inavoonekana sasa.
Dhumuni la kuandika hapa ni kuwaasa wazalendo wakweli kama Deo Mahinyila,Boniyai,Lema na Pambalu kuwa nyie mnaweza kukaa pamoja na kufanya mapinduzi ingali lissu akiwa gerezani jambo litakalofanya muweze kukiibua upya chama kuelekea kushinda chaguzi.
Watu watauliza kwanini sijamtaja Heche,jibu ni moja tu,Heche kwa sasa anatumika na serikali kutoa mipango yenu akisaidiwa na John Mnyika,hivyo msiwaamini,na kama mkifanikiwa kuwaondoa wakati huu,basi shangwe kubwa italipuka mitaani na kuwaunga Mkono.
Pambalu atakuwa Mbunge pale kwao,Mahinyila naye kadhalika,Lema usikatae cheo tena lkn uwe katibu Mkuu ili utendaji wote uusimamie.
Msimsahau Golugwa,na mwisho kabisa niseme kama mkiamua mnaweza na mtaifikisha chadema mahala ambapo Lissu hawezi kuifikisha.
Niwatakie utekelezaji mwema.Mawazo yangu ni ya kujenga.Msije kusema sikuwaambia.kheri ya utekelezaji.
Umeandika utopolo wa hali, kazi uliyotumwa imebuma, hatudanganyiki, watanzania wameelevuka sana, mwaka huu T-shirt na Zita kuwa za kudekia, kofia za SSH zile za chujio zitafaa kuchujia komonimwaka
Hivi heche na pambalu kwenye seminar zao ndio huwa anawaambia mambo ya ushuzi na ushoga?Mapenzi ya paka kwa panya,
Mshindani, wako,unampa mbinu za kutumia kwenye mashindano yenu,! Kama ni unafiki basi huu, ni, zaidi ya ushetani,
Ambao hawamtaki, Lisu kuwa chadema, ni ccm! Ccm wanawaambia wana chadema, Lisu, hafai kuwa mwenyekiti wenu!
Kenge kabisa,
Tatizo akili za ccm, bado zipo 1992! Wengi wanatumia akili, za kina kingunge, mkuchika, kihiyo, Sasa wakikutana na akili za 2025 za, lisu, mishuzi inawatoka tu
Mavi ya mama yakoHuna akili kichani kwako ni mavi tupu
Kumbe hadi leo unatumia komoni,utakuwa na maisha magumu sana.Umeandika utopolo wa hali, kazi uliyotumwa imebuma, hatudanganyiki, watanzania wameelevuka sana, mwaka huu T-shirt na Zita kuwa za kudekia, kofia za SSH zile za chujio zitafaa kuchujia komoni
Sio kweli,..mahakama imepiga marufuku mtu shughuli zote za chama / Chadema.
..kwa msingi huo hata kupindua uongozi wa Chadema haiwezekani, itakuwa ni kukiuka amri ya mahakama.
Lissu ni tapeliBado hujathibitisha Mungu yupo.
Hata kama kweli Lissu ni tapeli.Lissu ni tapeli
Nimejua kuwa Mungu yupo ndio maana kuna watu wanataka wathibitushiwe uwepo,Lissu ni tapeliHata kama kweli Lissu ni tapeli.
Hilo halithibitishi Mungu yupo. Zaidi, litathibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
Kwa sababu angekuwapo, utapeli usingewezekana kuwapo popote.
Thibitisha Mungu yupo, acha longolongo.
Hujathibitisha Mungu yupo.Nimejua kuwa Mungu yupo ndio maana kuna watu wanataka wathibitushiwe uwepo,Lissu ni tapeli
Thibitisha kwa akili yako.
We kibungo kaa kwa kutulia, uchawa wako peleka huko..!!Wewe nyumbu hujui kitu
Kwahiyo atakuwa rais?
Eti nawewe chadema inakutegemea,nyumbu mkubwa wewe.We kibungo kaa kwa kutulia, uchawa wako peleka huko..!!
Huku kwa masela utapigwa mshedede we kilete tu..!!
Unampigania nani?Anakuwa Mungu anachotaka awe kwasasa ni mpigania haki na Mzalendo. Hata Mandela alianzia jela. Wewe kaa kula pesa ya uchawa na kunya na kuleni pesa za walala hoi. Tuache sisi tupaganie wananchi masikini na nchi yetu ambayo inamalizwa na rushwa, ukabila, ukanda na uchawa
Watu kama wewe hamuwezi kujibu hoja zaidi ya matusi! Huwa ni matokeo ya kuteswa sana utotoni, kulelewa na mzazi mmoja au una kasoro za kimwili (physically). Unahitaji msaada wa kisaikolojia ili upate tiba kwa hiyo kutukana sio kosa lako.✍️We ndio mjinga,lissu mwenzio anasepa ubelgiji akitoka,wewe endelea kuuza duka la nyanya hapo.
Umesahau kushauri mkuuAsalam aleykum waislam wenzangu.
Kwanza niwapongeze kwa kuamka salama,niwape pole wenye madhira,Mungu atawapa tahfif.
Twende kwenye mada,ndugu wanajf,tangu tuingie mwaka mtakatifu wa nchi yetu ambao ni mwaka wa uchaguzi,kumekuwa na matatajio na mambo mengi ya vibweka vya kisiasa.
Mwanzoni mwa mwaka huu,tulishuhudia chama kidogo cha upinzani maarufu chadema kikifanya uchaguzi na kuwasimika wanaharakati lissu na Heche mamlakani,baada ya muda watu hao walianza kufanya maigizo ya kulaghai wananchi kuwa hakuna uchaguzi.
Kutokana na uimara wa ccm,jambo hilo la matapeli lilizimwa kwa mbinu za kisiasa,kupitia making mabingwa kama Komredi Masatu Wasira na wenzake waliotapakaa kila kona ya ulimwengu.
Baada ya Muda yule tapeli Lissu ambaye sasa amezeeka kiumri,alianza kuleta fujo za kuharibu amani ya nchi,lkn pia alidhibitiwa ipasavyo na sasa unasubiriwa ushahidi ili afungwe jela kwa makosa yanayomkabili.
Sasa hoja yangu ni kuwa,sababu ccm ni waumini wa demokrasia ulimwenguni,hatupendi kuona chama kama chadema kinapotea kwenye siasa kama inavoonekana sasa.
Dhumuni la kuandika hapa ni kuwaasa wazalendo wakweli kama Deo Mahinyila,Boniyai,Lema na Pambalu kuwa nyie mnaweza kukaa pamoja na kufanya mapinduzi ingali lissu akiwa gerezani jambo litakalofanya muweze kukiibua upya chama kuelekea kushinda chaguzi.
Watu watauliza kwanini sijamtaja Heche,jibu ni moja tu,Heche kwa sasa anatumika na serikali kutoa mipango yenu akisaidiwa na John Mnyika,hivyo msiwaamini,na kama mkifanikiwa kuwaondoa wakati huu,basi shangwe kubwa italipuka mitaani na kuwaunga Mkono.
Pambalu atakuwa Mbunge pale kwao,Mahinyila naye kadhalika,Lema usikatae cheo tena lkn uwe katibu Mkuu ili utendaji wote uusimamie.
Msimsahau Golugwa,na mwisho kabisa niseme kama mkiamua mnaweza na mtaifikisha chadema mahala ambapo Lissu hawezi kuifikisha.
Niwatakie utekelezaji mwema.Mawazo yangu ni ya kujenga.Msije kusema sikuwaambia.kheri ya utekelezaji.
Kuuza duka la nyanya ni tuai?Watu kama wewe hamuwezi kujibu hoja zaidi ya matusi! Huwa ni matokeo ya kuteswa sana utotoni, kulelewa na mzazi mmoja au una kasoro za kimwili (physically). Unahitaji msaada wa kisaikolojia ili upate tiba kwa hiyo kutukana sio kosa lako.✍️
Akili zenu kama za Lissu.Nimesoma kwa umakini sana nimeona umesema wewe ni matako, kweli una uhakika wewe ni matako mkuu?