Lissu apinduliwe, ndiyo njia ya kuiponya CHADEMA

Lissu siyo kiongozi bora.Analopoka sana
 
Sindano ya Ni Reforms imewaingia vilivyo mwanzoni mlifikiri ni nguvu ya soda kadili siku zinavyoenda mnaona No Reforms inahamia huko huko kwenu mnasingizia kuiponya CHADEMA utafikiri ninyi huko ni wazima, wakat mnaparuana na kuvuana nguo kila kukicha
Nyumbu mnapotea,tunawasaidia
 
Pumbu kabisa ww
 
Siku LISSU anakuwa Rais au CHADEMA inashika dola chini ya uongozi wa Mh. LISSU Mbow3 a.k.a M7 atafedheheka sana. Kwanza mpaka hapa kajishushia heshima sana.
 
APinduliwe kama wewe ulivyopinduliwa kwa mumeo na bi mdogo Mwajuma au siyo.
 
Nyie ndo wale mataahira wanaotafutwa kupelekwa milembe..!! 😹
 
Hapa naona umetumia tundu linalo zibwa na makalio kufikiri.
 
Badala ya kushauri huko kwa wana-CCM wenzako kufanya hivyo kwa Samia ili kuponya nchi, wewe unatuletea utumbo hapa. Msh3nzi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…