4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Kumbe ndo mpango wenu , mnajidanya sana, asema BwanaAsalam aleykum waislam wenzangu.
Kwanza niwapongeze kwa kuamka salama,niwape pole wenye madhira,Mungu atawapa tahfif.
Twende kwenye mada,ndugu wanajf,tangu tuingie mwaka mtakatifu wa nchi yetu ambao ni mwaka wa uchaguzi,kumekuwa na matatajio na mambo mengi ya vibweka vya kisiasa.
Mwanzoni mwa mwaka huu,tulishuhudia chama kidogo cha upinzani maarufu chadema kikifanya uchaguzi na kuwasimika wanaharakati lissu na Heche mamlakani,baada ya muda watu hao walianza kufanya maigizo ya kulaghai wananchi kuwa hakuna uchaguzi.
Kutokana na uimara wa ccm,jambo hilo la matapeli lilizimwa kwa mbinu za kisiasa,kupitia making mabingwa kama Komredi Masatu Wasira na wenzake waliotapakaa kila kona ya ulimwengu.
Baada ya Muda yule tapeli Lissu ambaye sasa amezeeka kiumri,alianza kuleta fujo za kuharibu amani ya nchi,lkn pia alidhibitiwa ipasavyo na sasa unasubiriwa ushahidi ili afungwe jela kwa makosa yanayomkabili.
Sasa hoja yangu ni kuwa,sababu ccm ni waumini wa demokrasia ulimwenguni,hatupendi kuona chama kama chadema kinapotea kwenye siasa kama inavoonekana sasa.
Dhumuni la kuandika hapa ni kuwaasa wazalendo wakweli kama Deo Mahinyila,Boniyai,Lema na Pambalu kuwa nyie mnaweza kukaa pamoja na kufanya mapinduzi ingali lissu akiwa gerezani jambo litakalofanya muweze kukiibua upya chama kuelekea kushinda chaguzi.
Watu watauliza kwanini sijamtaja Heche,jibu ni moja tu,Heche kwa sasa anatumika na serikali kutoa mipango yenu akisaidiwa na John Mnyika,hivyo msiwaamini,na kama mkifanikiwa kuwaondoa wakati huu,basi shangwe kubwa italipuka mitaani na kuwaunga Mkono.
Pambalu atakuwa Mbunge pale kwao,Mahinyila naye kadhalika,Lema usikatae cheo tena lkn uwe katibu Mkuu ili utendaji wote uusimamie.
Msimsahau Golugwa,na mwisho kabisa niseme kama mkiamua mnaweza na mtaifikisha chadema mahala ambapo Lissu hawezi kuifikisha.
Niwatakie utekelezaji mwema.Mawazo yangu ni ya kujenga.Msije kusema sikuwaambia.kheri ya utekelezaji.
Upinzani makini ni chaumma na ACT au huoni nyoni la wananchi kwenye mikutano yao mkuuHatuwezi kufurahi sababu tunataka upinzani makini
Asalam aleykum waislam wenzangu.

Wewe mpumbavu,kama unatafuta mtu wa kubishana nae sio mimi,anzisha ujinga wako uthibitishe kwa wapumbavu wenzio.nina mke nafasi ya kukuoa sina.Usituletee hadithi ambazo huwezi kuzithibitisha.
Ni sahihi umeona wanavopiga nyomiUpinzani makini ni chaumma na ACT au huoni nyoni la wananchi kwenye mikutano yao mkuu
Kwahiyo atakuwa rais?Huwezi kubalisha moyo wa mtu kwa kulazimisha! Lissu yuko moyoni na Mungu anamwelekeza hakuna wa kumzuia Dunia hii mpaka Mungu aamue
Lile ulilompa lema akakuharibuHapa naona umetumia tundu linalo zibwa na makalio kufikiri.
Sawa nyumbuKuna aliyeomba msaada, mbona kama mnajipendekeza?
Wewe nyumbu hujui kituNyie ndo wale mataahira wanaotafutwa kupelekwa milembe..!! 😹
HuelewekiAPinduliwe kama wewe ulivyopinduliwa kwa mumeo na bi mdogo Mwajuma au siyo.
We ndio mjinga,lissu mwenzio anasepa ubelgiji akitoka,wewe endelea kuuza duka la nyanya hapo.Siku LISSU anakuwa Rais au CHADEMA inashika dola chini ya uongozi wa Mh. LISSU Mbow3 a.k.a M7 atafedheheka sana. Kwanza mpaka hapa kajishushia heshima sana.
This is an ad hominem logical fallacy.Wewe mpumbavu,kama unatafuta mtu wa kubishana nae sio mimi,anzisha ujinga wako uthibitishe kwa wapumbavu wenzio.nina mke nafasi ya kukuoa sina.
Umekunywa viroba sasa,Pumbu kabisa ww
Kama una majibu yako kichwani unadhani mimi nina muda wa kujubadilisha,endelea tu ulivyo,mimi kwangu Mungu yupo na hana wa kufanana nae.This is an ad hominem logical fallacy.
Badala ya kujibu hoja, unamtukana mtu aliyeleta hoja.
Hata kama kweli mimi ni mpumbavu, mimi kuwa mpumbavu ni ushahidi pia kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo. Angekuwapo, kusingekuwa na mtu mpumbavu hata mmoja dunia nzima.
Thibitisha Mungu yupo.
Ulinzi wa nchimbowe ni mzalendo wa kitu gani?
Uwezo wa kuandka unao ila kufikir Mungu alikunyimaAsalam aleykum waislam wenzangu.
Kwanza niwapongeze kwa kuamka salama,niwape pole wenye madhira,Mungu atawapa tahfif.
Twende kwenye mada,ndugu wanajf,tangu tuingie mwaka mtakatifu wa nchi yetu ambao ni mwaka wa uchaguzi,kumekuwa na matatajio na mambo mengi ya vibweka vya kisiasa.
Mwanzoni mwa mwaka huu,tulishuhudia chama kidogo cha upinzani maarufu chadema kikifanya uchaguzi na kuwasimika wanaharakati lissu na Heche mamlakani,baada ya muda watu hao walianza kufanya maigizo ya kulaghai wananchi kuwa hakuna uchaguzi.
Kutokana na uimara wa ccm,jambo hilo la matapeli lilizimwa kwa mbinu za kisiasa,kupitia making mabingwa kama Komredi Masatu Wasira na wenzake waliotapakaa kila kona ya ulimwengu.
Baada ya Muda yule tapeli Lissu ambaye sasa amezeeka kiumri,alianza kuleta fujo za kuharibu amani ya nchi,lkn pia alidhibitiwa ipasavyo na sasa unasubiriwa ushahidi ili afungwe jela kwa makosa yanayomkabili.
Sasa hoja yangu ni kuwa,sababu ccm ni waumini wa demokrasia ulimwenguni,hatupendi kuona chama kama chadema kinapotea kwenye siasa kama inavoonekana sasa.
Dhumuni la kuandika hapa ni kuwaasa wazalendo wakweli kama Deo Mahinyila,Boniyai,Lema na Pambalu kuwa nyie mnaweza kukaa pamoja na kufanya mapinduzi ingali lissu akiwa gerezani jambo litakalofanya muweze kukiibua upya chama kuelekea kushinda chaguzi.
Watu watauliza kwanini sijamtaja Heche,jibu ni moja tu,Heche kwa sasa anatumika na serikali kutoa mipango yenu akisaidiwa na John Mnyika,hivyo msiwaamini,na kama mkifanikiwa kuwaondoa wakati huu,basi shangwe kubwa italipuka mitaani na kuwaunga Mkono.
Pambalu atakuwa Mbunge pale kwao,Mahinyila naye kadhalika,Lema usikatae cheo tena lkn uwe katibu Mkuu ili utendaji wote uusimamie.
Msimsahau Golugwa,na mwisho kabisa niseme kama mkiamua mnaweza na mtaifikisha chadema mahala ambapo Lissu hawezi kuifikisha.
Niwatakie utekelezaji mwema.Mawazo yangu ni ya kujenga.Msije kusema sikuwaambia.kheri ya utekelezaji.
Bado hujathibitisha Mungu yupo.Kama una majibu yako kichwani unadhani mimi nina muda wa kujubadilisha,endelea tu ulivyo,mimi kwangu Mungu yupo na hana wa kufanana nae.
Hizo fallacy zako unazotumia kufanya argument,endelea nazo.nilishaziacha zamani nikiwa mkufunzi.
Amini uaminivyo,Asalam aleyku.
Mapenzi ya paka kwa panya,Asalam aleykum waislam wenzangu.