Lissu apinduliwe, ndiyo njia ya kuiponya CHADEMA


..mahakama imepiga marufuku mtu shughuli zote za chama / Chadema.

..kwa msingi huo hata kupindua uongozi wa Chadema haiwezekani, itakuwa ni kukiuka amri ya mahakama.
 
Hivi heche na pambalu kwenye seminar zao ndio huwa anawaambia mambo ya ushuzi na ushoga?
 
Umeandika utopolo wa hali, kazi uliyotumwa imebuma, hatudanganyiki, watanzania wameelevuka sana, mwaka huu T-shirt na Zita kuwa za kudekia, kofia za SSH zile za chujio zitafaa kuchujia komoni
Kumbe hadi leo unatumia komoni,utakuwa na maisha magumu sana.
 
Lissu ni tapeli
Hata kama kweli Lissu ni tapeli.

Hilo halithibitishi Mungu yupo. Zaidi, litathibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Kwa sababu angekuwapo, utapeli usingewezekana kuwapo popote.

Thibitisha Mungu yupo, acha longolongo.
 
Nimejua kuwa Mungu yupo ndio maana kuna watu wanataka wathibitushiwe uwepo,Lissu ni tapeli
Thibitisha kwa akili yako.
 
Kwahiyo atakuwa rais?

Anakuwa Mungu anachotaka awe kwasasa ni mpigania haki na Mzalendo. Hata Mandela alianzia jela. Wewe kaa kula pesa ya uchawa na kunya na kuleni pesa za walala hoi. Tuache sisi tupaganie wananchi masikini na nchi yetu ambayo inamalizwa na rushwa, ukabila, ukanda na uchawa
 
Unampigania nani?
Uliombwa?
Wabongo wako bize acha kujipa umuhimu
 
We ndio mjinga,lissu mwenzio anasepa ubelgiji akitoka,wewe endelea kuuza duka la nyanya hapo.
Watu kama wewe hamuwezi kujibu hoja zaidi ya matusi! Huwa ni matokeo ya kuteswa sana utotoni, kulelewa na mzazi mmoja au una kasoro za kimwili (physically). Unahitaji msaada wa kisaikolojia ili upate tiba kwa hiyo kutukana sio kosa lako.✍️
 
Umesahau kushauri mkuu
 
Watu kama wewe hamuwezi kujibu hoja zaidi ya matusi! Huwa ni matokeo ya kuteswa sana utotoni, kulelewa na mzazi mmoja au una kasoro za kimwili (physically). Unahitaji msaada wa kisaikolojia ili upate tiba kwa hiyo kutukana sio kosa lako.✍️
Kuuza duka la nyanya ni tuai?
Haya endelea kula pitsa na makuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…