Uchaguzi 2020 Lissu apokelewa Tarime kwa kishindo

Uchaguzi 2020 Lissu apokelewa Tarime kwa kishindo

Hizo bangili alizovaa mkono wa kulia ni za nini
 
Tunaupenda sana upinzani. Ila tunajindanganya sana kuhusu haya mafuriko .
Haya mafuriko yanatudanya sana jamani, mafuriko haya yalikuwepo toka enzi na enzi ila hayana tija.
Tumekuwa na mafuriko enzi za mrema nk lakini hayakuwahi kusaidia kushika nchi.
Tujiulize je ilikuwaje uchaguzi wa wenyeviti wa vijiji, ilikuwaje kuhusu vijana kwenda kuboresha daftari la kupiga kura. Kama wenzetu ccm walifanya vizuri kwrnye sekta hiyo tutegemee siku ya kura ukienda kupiga kura kutokuona jina lako halafu udhani umeibiwa,kura kumbe atukutoa kipa umbele kwenye vitu vya msingi.
 
Sawasawa Mkombozi, me kwa nyodo wakiyokufanyia tu kukuadhibu kama mnyama naomba mungu akulipie tu..
Kula zote zako Kamanda
 
Tangu Uhuru hakuna kipindi ambacho watumishi wa umma wameishi kinyonge na kimaskini Kama kipindi Cha 2015-2020. Hata ulisema habari ya SGR ,bwawa la maji, hospital zilizojengwa hawaelewi.Kuna kundi la watumishi wa kutoka tamisemi wanazurura nchi nzima kuzungumza na kutafuta Nini watumishi wa umma wanachofikiri kuhusu uchaguzi Mkuu wa October .ukweli Ni kwamba watumishi wote wa umma wanaotarajia kumwaga mboga na aliyebakia amwage ugali.
SGR wana miezi mitatu hawajawalipa wazabuni kuna migomo isiyokwisha ulipaji wao ni wa shida wakati tunaambiwa ni pesa za ndani zinaendesha mradi huo
 
Hahhaha.. Makamanda mnapagawa na mafuriko bado?

Hayo hata enzi za Slaa yakikuwepo mara mbili yake

Tunapodai tume huru hatukosei. Hii ndio maana ccm wakisikia madai ya tume huru ya uchaguzi wanachanganyikiwa, maana wanajua ukweli utakuwa wazi.
 
KUNA MTU ATASHINDWA KULA CHAKULA LEO. MIMI NAOMBA TU MDAHALO WA WAGOMBEA URAIS WOTE TUWASIKIE
Jiwe hawezi kukubali
Kwanza jinsi jiwe anavyoogopeka na watu wake unadhani nani ambaye atakaye thubutu kumshauri kuhusu hilo
 
Tangu Uhuru hakuna kipindi ambacho watumishi wa umma wameishi kinyonge na kimaskini Kama kipindi Cha 2015-2020. Hata ulisema habari ya SGR ,bwawa la maji, hospital zilizojengwa hawaelewi.Kuna kundi la watumishi wa kutoka tamisemi wanazurura nchi nzima kuzungumza na kutafuta Nini watumishi wa umma wanachofikiri kuhusu uchaguzi Mkuu wa October .ukweli Ni kwamba watumishi wote wa umma wanaotarajia kumwaga mboga na aliyebakia amwage ugali.

Mzee Ruksa juzi pale Lupaso wenye akili walimuelewa. Kuwa wakati anapokea nchi wengine hata kuvaa viatu ilikuwa ni mambo ya kusadiki kama ya mbinguni au kusubiri umri flani ndio ulazimike. Kuna kipindi Tanzania wafanyakazi walikuwa wanavaa sarawili zenye viraka makalioni. Tena wale wa mabakabaka. Ugumu unaongelea wa wafanyakazi ni upi hasa ukilinganisha na nini?
 
KUNA MTU ATASHINDWA KULA CHAKULA LEO. MIMI NAOMBA TU MDAHALO WA WAGOMBEA URAIS WOTE TUWASIKIE
Hakuna mtu anahangaika ni vitu vidogo hivyo,
Siku akimaliza kupata wazamini hoja zote atakuwa kazimaliza sasa atatkiwa kujibu maswali anayoulizwa
 
Tarime sio mbali na sirari mpakani na Kenya kwenye korona,

Kumbe lisu aliwadanganya wakenya kuwa tuna korona.

Awalize hao wana tarime kama wana korona, tusikie majibu yao
Huo wimbo wa corona bakini nao nyie akina bolizozo wacha tusake wadhamini kwa sasa.
 
Mzee Ruksa juzi pale Lupaso wenye akili walimuelewa. Kuwa wakati anapokea nchi wengine hata kuvaa viatu ilikuwa ni mambo ya kusadiki kama ya mbinguni au kusubiri umri flani ndio ulazimike. Kuna kipindi Tanzania wafanyakazi walikuwa wanavaa sarawili zenye viraka makalioni. Tena wale wa mabakabaka. Ugumu unaongelea wa wafanyakazi ni upi hasa ukilinganisha na nini?
Hivi mkuuu maisha yeye Magufuli anayoish na watumishi wa nchi hii ndivyo wanavyoishi? Magufuli ana roho mbaya sana,watumishi tunafanya kazi mnoo lakini hata mia haongezi ,yaani hana shukrani wala imani .Watumish wakati mwingne tunamuombeaga mabaya kabisaaa.
 
Lissu ni kama Yesu alivyopokelewa kwa shangwe akiingia Jerusalem. Kweli Lissu tulikumiss sana. Usisite kufika Mbeya, Kyela, Vwawa na Tunduma.
 
Back
Top Bottom