EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Mkuu hapo mi simoMbona pozi ni kama push up?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hapo mi simoMbona pozi ni kama push up?
Sawa we kitimotoUna akili za chicken...hata hazitunzi kumbukumbu usinipotezee muda wangu[emoji848]!
Mfumuko wa bei umeongezeka Mara dufu,mfano 2015 mfuko wa cement uliuzwa 9500 hadi 11000 leo hii mfuko wa cement unauzwa 19500 bado bati nkNyie si ndio kuwa mnalilia kuhusu malimbikizo ya stahiki zenu za miaka nenda rudi kuto kulipwa? Wengine kilio kutopandishwa madaraja? Yote hayo yamefanyika hamsemi hamuoni ila mnaona kutopandisha mishahara. Je mfumuko wa bei Tanzania umeongezeka kwa kiwango gani? Ukilinganisha na mishahara isiyoongezwa?
Tangu Uhuru hakuna kipindi ambacho watumishi wa umma wameishi kinyonge na kimaskini Kama kipindi Cha 2015-2020. Hata ulisema habari ya SGR ,bwawa la maji, hospital zilizojengwa hawaelewi.Kuna kundi la watumishi wa kutoka tamisemi wanazurura nchi nzima kuzungumza na kutafuta Nini watumishi wa umma wanachofikiri kuhusu uchaguzi Mkuu wa October .ukweli Ni kwamba watumishi wote wa umma wanaotarajia kumwaga mboga na aliyebakia amwage ugali.
Tulimuunga mkono 2015 tukajua tumepaaaata, kumbe hola [emoji134]♀. Tuko na majuto yasiyopimika. Ila sasa kila mtumishi anamfatilia Lissu tu. Wote tumejiapiza Jiwe hapati kitu safari hii.
Walimu wanaweka kadi ili wapewe hela kwa riba kisa makato ya helsb na kutoongezwa mshahara.sitegemei waipende CCMTangu Uhuru hakuna kipindi ambacho watumishi wa umma wameishi kinyonge na kimaskini Kama kipindi Cha 2015-2020. Hata ulisema habari ya SGR ,bwawa la maji, hospital zilizojengwa hawaelewi.Kuna kundi la watumishi wa kutoka tamisemi wanazurura nchi nzima kuzungumza na kutafuta Nini watumishi wa umma wanachofikiri kuhusu uchaguzi Mkuu wa October .ukweli Ni kwamba watumishi wote wa umma wanaotarajia kumwaga mboga na aliyebakia amwage ugali.