Uchaguzi 2020 Lissu apokelewa Tarime kwa kishindo

Uchaguzi 2020 Lissu apokelewa Tarime kwa kishindo

Nyie si ndio kuwa mnalilia kuhusu malimbikizo ya stahiki zenu za miaka nenda rudi kuto kulipwa? Wengine kilio kutopandishwa madaraja? Yote hayo yamefanyika hamsemi hamuoni ila mnaona kutopandisha mishahara. Je mfumuko wa bei Tanzania umeongezeka kwa kiwango gani? Ukilinganisha na mishahara isiyoongezwa?
Mfumuko wa bei umeongezeka Mara dufu,mfano 2015 mfuko wa cement uliuzwa 9500 hadi 11000 leo hii mfuko wa cement unauzwa 19500 bado bati nk
 
Tangu Uhuru hakuna kipindi ambacho watumishi wa umma wameishi kinyonge na kimaskini Kama kipindi Cha 2015-2020. Hata ulisema habari ya SGR ,bwawa la maji, hospital zilizojengwa hawaelewi.Kuna kundi la watumishi wa kutoka tamisemi wanazurura nchi nzima kuzungumza na kutafuta Nini watumishi wa umma wanachofikiri kuhusu uchaguzi Mkuu wa October .ukweli Ni kwamba watumishi wote wa umma wanaotarajia kumwaga mboga na aliyebakia amwage ugali.

This maybe true, especially when corrupted individuas in the government are hand tied. Utajiri wa utitiri wa fedha, majengo, na mitanuo kwenye sehemu za starehe ilitokana na wizi, hongo, na maovu mbalimbali. Hizo nia zimefungwa, sasa mishahara inakumbukwa!
 
Tulimuunga mkono 2015 tukajua tumepaaaata, kumbe hola [emoji134]‍♀. Tuko na majuto yasiyopimika. Ila sasa kila mtumishi anamfatilia Lissu tu. Wote tumejiapiza Jiwe hapati kitu safari hii.

Lissu akikamata nchi mtaona cha mtema kuni. Mikataba ya kusaidiwa aliosaini huko nje mnaijuwa?. ninyi pigeni makofi tu. Tutarudi kulekule ambapomigodi yetu itarudishwakwa wazungu and there is nothing you can do about it. kwa sababu bunge letu kwa kawaida ni butu. Halina nguvu chini ya raisi yoyote. Kwa kufupi, bunge letu ni bendera fuata upepo. Kama ruzuku na mishahara ya wabuinge inaibiwa itakuwa nchi chini ya raisi kikaragosi.
 
Tangu Uhuru hakuna kipindi ambacho watumishi wa umma wameishi kinyonge na kimaskini Kama kipindi Cha 2015-2020. Hata ulisema habari ya SGR ,bwawa la maji, hospital zilizojengwa hawaelewi.Kuna kundi la watumishi wa kutoka tamisemi wanazurura nchi nzima kuzungumza na kutafuta Nini watumishi wa umma wanachofikiri kuhusu uchaguzi Mkuu wa October .ukweli Ni kwamba watumishi wote wa umma wanaotarajia kumwaga mboga na aliyebakia amwage ugali.
Walimu wanaweka kadi ili wapewe hela kwa riba kisa makato ya helsb na kutoongezwa mshahara.sitegemei waipende CCM
 
Mbona watu wengi sana jamani hakukuwa na mipolisi & migreen guard (tz interahamwe) ya kuwatawanya
 
Back
Top Bottom