mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Ni ujinga kujenga ghorofa wakati huo wanao hawajala kwa kuwa hamna chakula ndani au hawana mavazi ya kuwasitiri utu wao.SASA tunapoelekea watanzania mtaanza kuhojiwa kwanini mnajenga nyumba ya vyumba vitatu wakati unatumia chumba kimoja tuu...vitu kujengwa sio tatizo, la msingi tuendelee kuwasapoti watu tuliowapa dhamana waendelee kufanya Mambo mengi makubwa instead of demoralising them.. sidhani kama ni Sawa.. actually sioni tatizo kila Mkoa ukiwa na kiwanja cha ndege kizuri.