Lissu apotosha mwananchi kuhusu Uwanja wa Ndege wa Mpanda-Katavi

Ni ujinga kujenga ghorofa wakati huo wanao hawajala kwa kuwa hamna chakula ndani au hawana mavazi ya kuwasitiri utu wao.
 
Mfumo kuonyesha kuwa siti tatu zimebaki haina maana kuwa kweli siti tatu zimebaki, ujanja huu hufanyika sana hata kwa makampuni ya nje ili kutamanisha abiria kukata tiketi. Nenda pale ofisini kwo utakuta ndege iko wazi zaidi ya asilimia 80
Unaamanisha unaweza kukata ticket hata kama huna mpango wa kusafiri? Acha kutoa majibu ya uongo wewe
 
Toa ushauri wako. Je Mpanda kama makao makuu ya mkoa wa Katavi kusiwe na uwanja wa Ndege??? Sema wana Katavi na Mpanda wakusikie Mtanzania mwenzao???
 
Asante. Watu wanadhani Tanzania inaishia kwenye majiji
 
Hivi mpanda sio makao makuu ya mkoa ?
 
Rukwa na katavi ni mikoa tofauti
 
CHADEMA WAMEKOSEA SANA KUTULETEA MGOMBEA AMBAE NI MANUSURA WA KIFO.
ALISTAHILI KUPUMZIKA ILI DISHI LIKAE VIZURI. LAKINI WAO WAMEMTOA HOSPITALI WODINI HADI JUKWAANI.
HUYU JAMAA UKIMCHUNGUZA KWA UMAKINI NI KAMA HAYUKO SAWA.
NADHANI NDIO MAANA MBOWE AMEMKACHA MAPEMA.

TANGIA ALIPOENDA ZANZIBAR NA KUTANGAZA KUMUUNGA MKONO ZITTO NA MAALIM SEIF.
ILHALI CHADEMA INA MGOMBEA URAIS KULE ZANZIBAR.....KUNA JAMBO LILIANZIA HAPO.

ANYWAY WAKATI UKUTA TUTAYAONA YAJAYO
 
Wamesha changanyikiwa hao we ngoja utasikia Mengi ipo siku watakuja kitwambia mrad wa Treni ya umeme Sio kweli haupo Ila Watanzania Tunaota
 
Hata Leo hili Tundu limepotosha tena kuwa treni ya Kaliua hadi Mpanda haipo halafu linadanganya wananchi litajenga reli ya Mpada hadi Songwe wakati limeshindwa kujenga ofisi ya chadema makao makuu.
 
Na huyu mwingine anayechanganyikiwa kila akisikia mawazo kinzani na mtizamo wake tumpeleke Apolo kule kwa Mkuu wa mhimili mmoja ama Mojawapo ya hospitali katika mkoa wa Dodoma? Shikamoo kanda ya ziwa kwa kutuwezesha kuzijua rangi halisi za chungwa.
 
Huyu mtu ni mtu mbaya sana. Hana hoja wala sera bali ni kuchonganisha watanzania wachukiane.
Wananchi walitakiwa wamuulize na ukarabati unaofanywa kwenye viwanja vya ndege kwenye mikoa mingine ukiwemo mkoa anaotoka kwa kuzaliwa....wa Singida nao kwa ajili yake kwa kuwa ameruhusiwa kugombea urais kupitia chama cha Mbowe?
 
Rukwa na katavi ni mikoa tofauti
Upo sahihi lakini KIA ina serve Kilimanjaro na Arusha and uwanja wa Songwe una serve Mbeya na mkoa mpya wa Songwe. Formerly Katavi na Mpanda zilikuwa wilaya za Rukwa and so ukiwa na limited resorces huwezi jenga uwanja mwingine tena mkubwa ukaacha kujenga vituo vya afya au shule na ukajenga uwanja ambao ndege inatua mara moja kwa wiki. Ungeweza kuweka kama priority ya baadaye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…