Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kwa sababu Lissu amekuwa anafunguka sana kwa vyombo vya habari na ameamua kuweka wazi mambo yote ndani ya CHADEMA waandishi wa habari sasa wamuulize Lissu pesa zinazosemewa alililetwa na Abdul ambazo anaambiwa wengine walizichukua waliambiwa ni za nini.
Ili story ikamalike na iweze kuunganika sawasawa itakuwa busara aseme aliambiwa au waliambiwa wanapewa hizo pesa kwa sababu zipi.
Kabla ya kuita hongo au rushwa ni vyema kuelewa madhumuni ya hizo pesa kwanza.