Lissu ashauriwe kama ana ndoto za kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe ni Karata yake muhimu sana asimuache

Lissu ashauriwe kama ana ndoto za kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe ni Karata yake muhimu sana asimuache

Realistically kabisa kuna mwanachama gani atamsikiliza Mbowe tena? Hata Seif alitukanwa hivi hivi leo CUF iko wapi. Chadema haijawahi kuwa this divided, hata Zitto hakufikia level hii. Kwahiyo Lissu akishindwa wala haina shida ila chadema ndio imekufa hivyo. Utakua unaona mbowe anazomewa na hao wajumbe watakimbia hadi majimbo yao.

Why mkiue chama kisa kumlazimisha Nkuruzinza aendelee kuongoza wanachama wasiomtaka. Yeye mwenyewe Mbowe alikiri kuwa wajumbe ndio wapiga kura sio wanachama meaning anajua hayuko popular kwa wanachama ila sijui anafikiria nni
Sikutegemea kuwa Mbowe angekuwa mpuuzi wa kiwango hiki,sijui kaahidiwa nini na Samia hadi akubali chama "alichoshiriki" kukijenga kife.
 

Attachments

  • IMG_5035.jpeg
    IMG_5035.jpeg
    84.4 KB · Views: 1
Back
Top Bottom