22 October 2020
Pemba, Zanzibar
Maaliim Seif afanyiwa sherehe kubwa ya siku ya kuzaliwa kwake na maelfu ya Wazanzibari na waTanganyika walionesha upendo mkubwa na furaha isiyo na kifani kwa kiongozi wao mtarajiwa wa taifa la Zanzibar ndani ya Muungano wa usawa.
Sherehe hizo za birthday ya Seif Sharrif Hamad almarufu kama Maalim baadaye zilifuatiwa na fete ya kufunga rasmi kampeni za kuwania sehemu hii ya Pemba Zanzibar . Kesho kampeni zitahamia upande wa Unguja Zanzibar kukamilisha miezi miwili ya kampeni za uchaguzi mkuu wa Zanzibar 2020
Pemba, Zanzibar
Lissu asherehekea 'Birthday' ya Maalim Seif kisiwani Pemba