Lissu asherehekea 'Birthday' ya Maalim Seif kisiwani Pemba

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
22 October 2020
Pemba, Zanzibar

Lissu asherehekea 'Birthday' ya Maalim Seif kisiwani Pemba​

Maaliim Seif afanyiwa sherehe kubwa ya siku ya kuzaliwa kwake na maelfu ya Wazanzibari na waTanganyika walionesha upendo mkubwa na furaha isiyo na kifani kwa kiongozi wao mtarajiwa wa taifa la Zanzibar ndani ya Muungano wa usawa.

Sherehe hizo za birthday ya Seif Sharrif Hamad almarufu kama Maalim baadaye zilifuatiwa na fete ya kufunga rasmi kampeni za kuwania sehemu hii ya Pemba Zanzibar . Kesho kampeni zitahamia upande wa Unguja Zanzibar kukamilisha miezi miwili ya kampeni za uchaguzi mkuu wa Zanzibar 2020

Shamrashamra za Ufungaji Kampeni ACT Pemba​

 
Maalimu atoe tamko mbona wete kufikia 28102020 wanaume wote watakuwa mahabusu?
 
Mwanaume"Birthday"yanini bwana,hayo mambo waachiwe watoto na wanawake.
 
Wataishia tu kusherehekea Birthday, lakini siyo ushindi wa Urais.
Amini nawaambieni, huku Bara kila siku zinapozidi kusogea kuelekea Uchaguzi mkuu 2020, watu wengi kwa mamia wanazidi kumkimbia Mwakilishi wa MABEBERU.
Wengi kwa sasa wanamuunga mkono JPM. Hata wale wanaotembea wakiwa wamevaa Bendera za kibeberu, wananong'ona wakisema kuwa wanaomba kura za Diwani isipokuwa Mbunge na Rais ni CCM.
UDINI, MATUSI na kutoongea kwa STAHA kumemshusha hadhi mgombea Mwakilishi wa MABEBERU. Haaminiki tena na hakuna mtanzania atakayeingia barabarani kwa ajili yake.
 
Maalim Shikamooo
 
hao watu ni wewe na mashosti zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…