NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
ππππππππ nimecheka sana mkuu asante kuniongezea furaha dah!Kwani kama kasema na nyie si mseme..
Polisi wamechoka kuwatetea...
Sisi tunachowezakusema ni hiki - kuwa Lissu alipigwa risasi hizo 16 za ndege na wenzake kwa lengo la kumfanyia njia ya kwenda Ulaya kutayarishwa kwa haya afanyayo na asemayo kwa nia na lengo OVU na kutaka kuichokza Serikali na vyombo vya dola, LAKINI wote wanajua anachotafuta, hivyo wameamua kumnyamazia tu!Kwani kama kasema na nyie si mseme..
Polisi wamechoka kuwatetea...
Mkuu nchi hii hii ya Nyerere wasikamatwe?Sisi tunachowezakusema ni hiki - kuwa Lissu alipigwa risasi hizo 16 za ndege na wenzake kwa lengo la kumfanyia njia ya kwenda Ulaya kutayarishwa kwa haya afanyayo na asemayo kwa nia na lengo OVU na kutaka kuichokza Serikali na vyombo vya dola, LAKINI wote wanajua anachotafuta, hivyo wameamua kumnyamazia tu!