Uchaguzi 2020 Lissu asiachwe aeneze uchochezi huu

Uchaguzi 2020 Lissu asiachwe aeneze uchochezi huu

Ameshakata tiketi ya kurudi kwao ubeligiji. Anajua ni mhalifu
 
Unawafumba midomo wengine, unaua waandishi ili wanaobaki wakusujudu, vyombo vya habari vyote wewe live kila siku halafu unajipiga kifua na kusema unapendwa Sana, hakuna kama wewe. Kikowapi?
 
Hata wewe unajua kama ile ilikuwa ni order Magufuli

Na habari za kiiteligensia yetu zinaonesha ile team ya assassin ilopewa ile failed assignment wameshatangulizwa mbele ya haki kwa order ya Magu.
 
Jeshi la Polisi wafanye uchunguzi.

Vinginevyo Tundu Lissu ataendelea kuwataja wale anaohisi wanahusika.

Ila mimi naamini anachokisema kwasababu hakuna maelezo ya kwanini walinzi wa area D waliondolewa siku aliyoshambuliwa Tundu Lissu.
 
Huyu tutambinya korosho zake... Mpaka ataje alomtuma kucheza na sisi... Wacha tumalize uchaguzi
 
Kama wewe ni Mtanzania huamini kuwa Makonda ndiye aliyeongoza kikosi cha watu WASIOJULIKANA kumwagia risasi na kumjeruhi TUNDU LISSU kwa maagizo ya Meko aka Jiwe basi inabidi ukapimwe akili.

Utakuwa ni mllemavu wa AKILI
 
Huwa ina semwa hata kimya yaweza kuwa jibu,wewe tuambie uzushi ni upi hasa,kwani kuna maswali mengi yasiyo na majibu.je majibu ya masawali hayo haha kuwa no ukimya katika hayo?
 
Kwani kama kasema na nyie si mseme..
Polisi wamechoka kuwatetea...
Sisi tunachowezakusema ni hiki - kuwa Lissu alipigwa risasi hizo 16 za ndege na wenzake kwa lengo la kumfanyia njia ya kwenda Ulaya kutayarishwa kwa haya afanyayo na asemayo kwa nia na lengo OVU na kutaka kuichokza Serikali na vyombo vya dola, LAKINI wote wanajua anachotafuta, hivyo wameamua kumnyamazia tu!
 
Mkuu nchi hii hii ya Nyerere wasikamatwe?
 
Back
Top Bottom