Ghosryder
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 10,403
- 4,373
Kwani Chacha Wangwe aliuawa na nani??USSR kwa akili yako tu na uelewa wako unahisi Lissu alishambuliwa na nani Dodoma?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Chacha Wangwe aliuawa na nani??USSR kwa akili yako tu na uelewa wako unahisi Lissu alishambuliwa na nani Dodoma?
Wewe kwa akili yako unahisi Chacha aliuwawa na nani?Kwani Chacha Wangwe aliuawa na nani??
Jibu swali, acha Utopolo wako.Wewe kwa akili yako unahisi Chacha aliuwawa na nani?
Sio kwamba hana akili, ni kweli huyo jamaa yenu ni chinjachinja, ni wangapi wameuawa katika kipindi cha utawala wake ??, tumia akili yako kupinga hoja kwa hoja sio kutukana watu, huyo unaemtukana kuna siku utakutana nae pahala ambapo unahitaji msaada seriously.We huna akili bwege na fala
Nitakutana nae wapi? Hao waliochinjwa unaweza kuweka orodha? Na ndugu zao hawajafungua kesi?Sio kwamba hana akili, ni kweli huyo jamaa yenu ni chinjachinja, ni wangapi wameuawa katika kipindi cha utawala wake ??, tumia akili yako kupinga hoja kwa hoja sio kutukana watu, huyo unaemtukana kuna siku utakutana nae pahala ambapo unahitaji msaada seriously.
Unajua historia ya Kambona wewe au unajiongelea tu? Alifanya kosa gani hasa au wewe ni zao la zile propaganda za Kijani?Lissu hana tofauti na wakina Kambona wa enzi za Nyerere. Hivi Nyerere angecheka na akina Kambona leo Tanzania tungekuwa wapi?
Lissu kurudi Tanzania wengine bado tunashangaa imekuwa kuwaje? Kambona alikaa huko uhamishoni akarudi Tanzania akakaa kwa heshima kusubiria kufa tu. Hata akina Babu ilikuwa hivyo hivyo. Sasa huyu Lissu anayezunguka akipayuka na kumkashifu Rais ni nani hasa.?
Mpaka sasa walinzi alionao ni polisi wa serikali, JITAMBUEAirport ya Dar hawezi kuchomoka, kama alivyodakwa Seth Lissu atadakwa mapema kabisa.
Kwa hiyo?Mpaka sasa walinzi alionao ni polisi wa serikali, JITAMBUE
Asante mwl kashasha mwa kona muhimu sana ulopiga akijibu nitag kmmkUSSR kwa akili yako tu na uelewa wako unahisi Lissu alishambuliwa na nani Dodoma?
Ameshakata tiketi ya kurudi kwao ubeligiji. Anajua ni mhalifu
[/ yan unaeza kuta na hili ni libaba na linafamilia 🤔🤔🤔🤔. Kwan lissu ni Raia a wap mana huenda unezaliwa 2017kwa ulichokiandika mataga🙌🏿🙌🏿🤔
Huyo swali la kumuuliza ni kuwa amezaliwa lini maana umri nao unaweza kuwa hoja kubwa juu ya maoni yake kisha tunajibu hivi mwaka 2014 kipindi cha nyuma kulikuwa hakuna watu wa siojulikana ha2a wasiojulikana walitoka wap nani mfadhili wao na wako kwa lengo gani nchi hiii🤔🤔akishajibuMkuu nchi hii hii ya Nyerere wasikamatwe?
Mimi huwa najiuliza hawa vingozi wetu hizi mbinu chafu wanazotumia wanadhani hizo nchi nyingine huwa hawazioni.Mkuu acha mahakimu, leo Maafisa waandamizi wa JWTZ wamemuambia CDF Mabeyo kwamba analihiriki Jeshi, ameliingiza kwenye siasa chafu za ccm