Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Habari ndiyo hiyo. Msukuma wenu China chinjaHuna akili we punguani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari ndiyo hiyo. Msukuma wenu China chinjaHuna akili we punguani.
We huna akili bwege na falaHabari ndiyo hiyo. Msukuma wenu China chinja
Tukuamini wewe unayesemea vichochoroni? Ajabu na kweli, wenzako wanasema hadharani jinsi walivyopanga.Kama wewe ni Mtanzania huamini kuwa Makonda ndiye aliyeongoza kikosi cha watu WASIOJULIKANA kumwagia risasi na kumjeruhi TUNDU LISSU kwa maagizo ya Meko aka Jiwe basi inabidi ukapimwe akili.
Utakuwa ni mllemavu wa AKILI
Ngoja tujikumbushe ile kauli ya mkuuView attachment 1611029
Wewe lia nauongo, ikifika Desemba 18, 2020 Lissu anayoyoma Ubelgiji na huo ndiyo mwisho wake na CDM, maana tapeli Mbowe atakuwa ameishamuondowa kwenye nyadhifa zote kama ilivyotokea kwa Slaa na Lowassa. Kwa vile yeye ana mdomo mchafu kama mamba hata ukatibu kata wa Magufuli hatauona, kazi yake itakuwa kudanganya juu ya TZ na kupewa ruzuku ya kutumia na familia yake. Sisi tuko waangalify saana. Hatutaki waliyoyafanya Wabelgiji DRC yatokee TZ.Acha upumbavu wewe sababu nyinyi ndio mnamzushia uongo kiongozi wetu Mh Tundu Lissu.
Ushoga mmeubariki nyinyi alafu mnamsingizia! Rejea mlivyomkana makonda mkaandika na barua kuwabembeleza mabeberu kuwa mashoga na wasagaji wapo huru Tanzania.
Mkaja tena na uzushi wenu kuwa anatumika na mabeberu ila chaajabu rasilimali karibu zote mlishawapa hao mabeberu.
CCM siku hizi haina tofauti na kikundi cha wahuni
Mnaona siku zimekwisha mmeanza kuweweseka sasa mlidhani jua limesimama!!!???Wanaukumbi!
Lissu alikuwa wapi siku zote hadi aje sasa kusema hivi?
Kwa nini anamzushia Mh Rais mambo ya hovyo,uongo na uzandiki mkubwa namna hii?
Rais kikwete aliwahi kusema CHADEMA wanakiwanda cha uongo basi hii ndio product.
Lisu asiachwe aeneze uchochezi huu?
Mtakumbuka kuwa tangu Tundu Lissu ashambuliwe hapa Dodoma hakuwahi kusema nani alikuwa nyuma ya tukio lile zaidi ya kusema makonda alikuwepo Dodoma kitu ambacho kilionekana kama uzushi tu na alikaa miaka yote bila kusema nani alipiga au kusema kama serikali ilihusika au la.
Jana mkoani lindi Lissu kaibuka na hii hoja inayoonekana kama kiki tu, Lissu ni mwanasheria hapa anajua hana ushahidi wa jambo hili analomtuhumu Rais, huku akijua baada ya kampeni atajibu hili mahakamani.
Naviomba vyombo vya uchuguzi vimuache amalize kampeni asipate kiki ila akimaliza wamtaiti mpaka aache kuropoka.
USSR
Huna cha kumfanya LissuLissu hana tofauti na wakina Kambona wa enzi za Nyerere. Hivi Nyerere angecheka na akina Kambona leo Tanzania tungekuwa wapi?
Lissu kurudi Tanzania wengine bado tunashangaa imekuwa kuwaje? Kambona alikaa huko uhamishoni akarudi Tanzania akakaa kwa heshima kusubiria kufa tu. Hata akina Babu ilikuwa hivyo hivyo. Sasa huyu Lissu anayezunguka akipayuka na kumkashifu Rais ni nani hasa.?
Yaani akili za watu wengine, hazitibiki hata MirembeHahahaa kwa hiyo Lissu aliyeshambuliwa anatakiwa aseme nani kamshambulia? Lakini hii CCM kitu inachowafanya nyie watu Mungu anajua. Akili yote imekuwa corrupted. Mafuvu mmebebea nywele tu hamna akili hata moja.
Ni baada ya Mropokaji kuropoka kuhusu ugonjwa na matibabu yake alipokuwa Arusha juzi.Muda wote amekuwa akizungumzia kushambuliwa kwake bila kumnyoshea mtu kidole. Naona ametibuliwa.
Lissu hana tofauti na wakina Kambona wa enzi za Nyerere. Hivi Nyerere angecheka na akina Kambona leo Tanzania tungekuwa wapi?
Lissu kurudi Tanzania wengine bado tunashangaa imekuwa kuwaje? Kambona alikaa huko uhamishoni akarudi Tanzania akakaa kwa heshima kusubiria kufa tu. Hata akina Babu ilikuwa hivyo hivyo. Sasa huyu Lissu anayezunguka akipayuka na kumkashifu Rais ni nani hasa.?
Unataka nisemee hadharani na mimi munipige risasi kama Lissu au waninyonge kama Ben SaananeTukuamini wewe unayesemea vichochoroni? Ajabu na kweli, wenzako wanasema hadharani jinsi walivyopanga.
Wakili wenu kawaambia mjitoe kwenye uchaguzi mnachubiri nini?
Ni kweli, tunahitaji kuona hapana mtu yeyote ndani ya nchi hii anaonewa, anateswa, anauawa, anawekwa kwenye viroba kwa sababu ya kutofautiana msimamo wowote ule, sio leo anauawa mfuasi wa Upinzani polisi wanajikalisha kimya, akiuawa mkora wa ccm unawasikia polisi (mpaka igp) wanakomaza misuri ya shingo wakiahidi uchunguzi wa kina, na mwisho wa siku wanaokamatwa mara nyingi ni wafuasi wa upinzaniHapo utasikia bwana Pole pole anatoa maagizo kwa jeshi la polisi,
Huko nyuma inasadikiwa Alphonce Mawazo aliuawa mchana kweupe.
Kwa kweli kuna sababu ya watanzania kudai haki na uhuru,
vikipatikana hivyo amani yetu itadumu.