Lissu asitake kutuaminisha kuwa Magu alikuwa sahihi kuto mpa pole

Zawadi Ngoda

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2009
Posts
4,175
Reaction score
2,294
Kwa jinsi Lissu anavyoendelea vibaya kuutumia uhuru alionao kikatiba katika mikutano tofauti, inakaribia sana kwetu waTZ kuamini kuwa yaliyomtokea wakati wa Magufuli pengine haikuwa makosa.

Mpaka sasa bado waTZ tunamuonea huruma kwa yaliyotomtokea wakati ule, ananafasi yakujisahihisha.
Kauli chafu, dhihaka, kufikiri kuwa yeye ndio msomi pekee, dharau, kejeli kwa wote wasiomuunga mkono ikiwa pamoja na viongozi wa juu.

Hayo sio maadili tuliyofunzwa watanzania kuishi pamoja kwa kuheshimiana na kupendana. Hata kama katumwa na wabelgiji, basi kavuka mpaka.
 
Wewe mbwa, Magufuli aliwahi kutwiti akisikitishwa na tukio lilompata Lissu,mkamshambulia ya kwamba anajibaraguza,

Mmesahau?,pole ipi unayoisemea?
Huwezi kutoa hoja bila kuandika neno "MBWA"?
 
Kwa jinsi Lissu anavyoendelea vibaya kuutumia uhuru alionao kikatiba katika mikutano tofauti, inakaribia sana kwetu waTZ kuamini kuwa yaliyomtokea wakat wa Magufuli pengine haikuwa makosa. Mpaka sasa bado waTZ tunamuonea huruma kwa yaliyotomtokea wakati ule, ananafasi yakujisahihisha.
Kauli chafu, dhihaka, kufikiri kuwa yeye ndio msomi pekee, dharau, kejeli kwa wote wasiomuunga mkono ikiwa pamoja na viongozi wa juu.
Hayo sio maadili tuliyofunzwa watanzania kuishi pamoja kwa kuheshimiana na kupendana. Hata kama katumwa na wabelgiji, basi kavuka mpaka.
Kauli gan chafu? Kejeli ipi, dharau gan? Ainisha hapa tuone. Pia wabongo wana ujinga mwingi sana yaan ukiwapiga kweny mshono kwa kusema kwel bila kujali nan bas huona kama dharau au ujeuri. Shubaamit!!
 
"KAULI YA TUNDU LISSU DHIDI YA RAIS SAMIA YAPINGWA, ATAKIWA UMUOMBE RADHI" Hii ni kauli ya mwananchi katika Jambo TV.

Nami nakazia tu: Lissu amuombe radhin hadharani Rais Samia Suluhu Hassan.
 
Kauli gan chafu? Kejeli ipi, dharau gan? Ainisha hapa tuone. Pia wabongo wana ujinga mwingi sana yaan ukiwapiga kweny mshono kwa kusema kwel bila kujali nan bas huona kama dharau au ujeuri. Shubaamit!!
Ni kauli nyingi, lakini nikikufungulia moja tu ni Kauli ya neno "Matope".
 
Kwa jinsi Lissu anavyoendelea vibaya kuutumia uhuru alionao kikatiba katika mikutano tofauti, inakaribia sana kwetu waTZ kuamini kuwa yaliyomtokea wakat wa Magufuli pengine haikuwa makosa. Mpaka sasa bado waTZ tunamuonea huruma kwa yaliyotomtokea wakati ule, ananafasi yakujisahihisha.
Kauli chafu, dhihaka, kufikiri kuwa yeye ndio msomi pekee, dharau, kejeli kwa wote wasiomuunga mkono ikiwa pamoja na viongozi wa juu.
Hayo sio maadili tuliyofunzwa watanzania kuishi pamoja kwa kuheshimiana na kupendana. Hata kama katumwa na wabelgiji, basi kavuka mpaka.
Nyie watu acheni ujinga. Eti siyo maadili yetu.

Hivi maadili yetu ni nini? UFISADI!!? Maana hatujawahi kusikia mkiwaambia Mafisadi wa CCM kuwa hayo siyo Maadili yetu.
 
Kosa halifanyi kosa jingine kuwa sahihi. Nazungumzia kadhia hii, tujaribu kujikita katika kutafuta ufumbuzi wake.
Kwanini wote kwa ujumla tusikubaliane kuwa Mh Lissu amuombe radhi Mh Rais Samia Suluhu.
 
Kwa jinsi Lissu anavyoendelea vibaya kuutumia uhuru alionao kikatiba katika mikutano tofauti, inakaribia sana kwetu waTZ kuamini kuwa yaliyomtokea wakat wa Magufuli pengine haikuwa makosa. Mpaka sasa bado waTZ tunamuonea huruma kwa yaliyotomtokea wakati ule, ananafasi yakujisahihisha.
Kauli chafu, dhihaka, kufikiri kuwa yeye ndio msomi pekee, dharau, kejeli kwa wote wasiomuunga mkono ikiwa pamoja na viongozi wa juu.
Hayo sio maadili tuliyofunzwa watanzania kuishi pamoja kwa kuheshimiana na kupendana. Hata kama katumwa na wabelgiji, basi kavuka mpaka.
Kwani wanaosemwa wanaakili ???
 
Kosa halifanyi kosa jingine kuwa sahihi. Nazungumzia kadhia hii, tujaribu kujikita katika kutafuta ufumbuzi wake.
Kwanini wote kwa ujumla tusikubaliane kuwa Mh Lissu amuombe radhi Mh Rais Samia Suluhu.
Mi naona Samia awaombe radhi waheshimiwa watanganyika.
 
Kosa halifanyi kosa jingine kuwa sahihi. Nazungumzia kadhia hii, tujaribu kujikita katika kutafuta ufumbuzi wake.
Kwanini wote kwa ujumla tusikubaliane kuwa Mh Lissu amuombe radhi Mh Rais Samia Suluhu.
Amuombe radhi kwa lipi....!?
 
Back
Top Bottom