Lissu asitake kutuaminisha kuwa Magu alikuwa sahihi kuto mpa pole

Lissu asitake kutuaminisha kuwa Magu alikuwa sahihi kuto mpa pole

Kwa jinsi Lissu anavyoendelea vibaya kuutumia uhuru alionao kikatiba katika mikutano tofauti, inakaribia sana kwetu waTZ kuamini kuwa yaliyomtokea wakat wa Magufuli pengine haikuwa makosa. Mpaka sasa bado waTZ tunamuonea huruma kwa yaliyotomtokea wakati ule, ananafasi yakujisahihisha.
Kauli chafu, dhihaka, kufikiri kuwa yeye ndio msomi pekee, dharau, kejeli kwa wote wasiomuunga mkono ikiwa pamoja na viongozi wa juu.
Hayo sio maadili tuliyofunzwa watanzania kuishi pamoja kwa kuheshimiana na kupendana. Hata kama katumwa na wabelgiji, basi kavuka mpaka.
Sasa umeongea utumbo gani?
Kojoa ukalale huna jipya na hueleweki
 
Back
Top Bottom