Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,175
- 2,294
Huwezi kutoa hoja bila kuandika neno "MBWA"?Wewe mbwa, Magufuli aliwahi kutwiti akisikitishwa na tukio lilompata Lissu,mkamshambulia ya kwamba anajibaraguza,
Mmesahau?,pole ipi unayoisemea?
Najua wenye hadhi hapa ni wasomi tu kama anavyojiona Lissu kuwa ndiye msomi pekee nchini. Yeye akitamka tu ni sheria. Wafuasi wake mna taabu sanaaa.Huna hadhi ya kumtamka magufuli
Kauli gan chafu? Kejeli ipi, dharau gan? Ainisha hapa tuone. Pia wabongo wana ujinga mwingi sana yaan ukiwapiga kweny mshono kwa kusema kwel bila kujali nan bas huona kama dharau au ujeuri. Shubaamit!!Kwa jinsi Lissu anavyoendelea vibaya kuutumia uhuru alionao kikatiba katika mikutano tofauti, inakaribia sana kwetu waTZ kuamini kuwa yaliyomtokea wakat wa Magufuli pengine haikuwa makosa. Mpaka sasa bado waTZ tunamuonea huruma kwa yaliyotomtokea wakati ule, ananafasi yakujisahihisha.
Kauli chafu, dhihaka, kufikiri kuwa yeye ndio msomi pekee, dharau, kejeli kwa wote wasiomuunga mkono ikiwa pamoja na viongozi wa juu.
Hayo sio maadili tuliyofunzwa watanzania kuishi pamoja kwa kuheshimiana na kupendana. Hata kama katumwa na wabelgiji, basi kavuka mpaka.
Ni kauli nyingi, lakini nikikufungulia moja tu ni Kauli ya neno "Matope".Kauli gan chafu? Kejeli ipi, dharau gan? Ainisha hapa tuone. Pia wabongo wana ujinga mwingi sana yaan ukiwapiga kweny mshono kwa kusema kwel bila kujali nan bas huona kama dharau au ujeuri. Shubaamit!!
Umeongea pumba ndiyo watu wanasema Umbwa au JibwaHuwezi kutoa hoja bila kuandika neno "MBWA"?
Nyie watu acheni ujinga. Eti siyo maadili yetu.Kwa jinsi Lissu anavyoendelea vibaya kuutumia uhuru alionao kikatiba katika mikutano tofauti, inakaribia sana kwetu waTZ kuamini kuwa yaliyomtokea wakat wa Magufuli pengine haikuwa makosa. Mpaka sasa bado waTZ tunamuonea huruma kwa yaliyotomtokea wakati ule, ananafasi yakujisahihisha.
Kauli chafu, dhihaka, kufikiri kuwa yeye ndio msomi pekee, dharau, kejeli kwa wote wasiomuunga mkono ikiwa pamoja na viongozi wa juu.
Hayo sio maadili tuliyofunzwa watanzania kuishi pamoja kwa kuheshimiana na kupendana. Hata kama katumwa na wabelgiji, basi kavuka mpaka.
Utakuta huyu ni Diwani wa CHADEMA au anatarajiwa kugombea Udiwani au nafasi nyingine yeyote ya kisiasa.Umeongea pumba ndiyo watu wanasema Umbwa au Jibwa
Kosa halifanyi kosa jingine kuwa sahihi. Nazungumzia kadhia hii, tujaribu kujikita katika kutafuta ufumbuzi wake.Nyie watu acheni ujinga. Eti siyo maadili yetu.
Hivi maadili yetu ni nini? UFISADI!!? Maana hatujawahi kusikia mkiwaambia Mafisadi wa CCM kuwa hayo siyo Maadili yetu.
Kwani wanaosemwa wanaakili ???Kwa jinsi Lissu anavyoendelea vibaya kuutumia uhuru alionao kikatiba katika mikutano tofauti, inakaribia sana kwetu waTZ kuamini kuwa yaliyomtokea wakat wa Magufuli pengine haikuwa makosa. Mpaka sasa bado waTZ tunamuonea huruma kwa yaliyotomtokea wakati ule, ananafasi yakujisahihisha.
Kauli chafu, dhihaka, kufikiri kuwa yeye ndio msomi pekee, dharau, kejeli kwa wote wasiomuunga mkono ikiwa pamoja na viongozi wa juu.
Hayo sio maadili tuliyofunzwa watanzania kuishi pamoja kwa kuheshimiana na kupendana. Hata kama katumwa na wabelgiji, basi kavuka mpaka.
Mi naona Samia awaombe radhi waheshimiwa watanganyika.Kosa halifanyi kosa jingine kuwa sahihi. Nazungumzia kadhia hii, tujaribu kujikita katika kutafuta ufumbuzi wake.
Kwanini wote kwa ujumla tusikubaliane kuwa Mh Lissu amuombe radhi Mh Rais Samia Suluhu.
Amuombe radhi kwa lipi....!?Kosa halifanyi kosa jingine kuwa sahihi. Nazungumzia kadhia hii, tujaribu kujikita katika kutafuta ufumbuzi wake.
Kwanini wote kwa ujumla tusikubaliane kuwa Mh Lissu amuombe radhi Mh Rais Samia Suluhu.
Matope howNi kauli nyingi, lakini nikikufungulia moja tu ni Kauli ya neno "Matope".
Kawakosea sana watanzania. Nyie bishaneni hapa JF, lakini wapiga kura wanawasubiri kwenye boksi- sanduku la kura.Amuombe radhi kwa lipi....!?
Mwenziwe Lissu hapati usingizi, hajui tu aanzie wapi kuomba radhi. Mimi namshauri aanze pale alipoishia...Mi naona Samia awaombe radhi waheshimiwa watanganyika.
Ndio za CHADEMA hizi. Wenye akili ni wao tu.Kwani wanaosemwa wanaakili ???
Haijalishi ni nani katoa kejeli na dharau, kwani huo ni uvunjaji wa amani yetu. Kosa ni kosa tu hata akifanya nani.wakitoa kejeli wengine ni sawa??