Pre GE2025 Lissu ataka mabalozi wa nchi mbalimbali wawepo kama waangalizi wa Uchaguzi wa ndani ya CHADEMA ili "kuongeza macho"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Vijibwa vya Sultan Mbowe vinabweka kweli kweli
 
Nyumbu wa Sultan Mbowe wameshaanza kupiga mayowe kwani wanaona mbinu zao za kuleta magumashi zimeshavuja.
 
Mama simamia huo uchaguzi uwe wa huru na haki, mwisho wa kaskazini umefika, wawaachie wanakanda wengine hope watakiendeleza vizuri sana, na head quarter ya chama iwe singida, pwani au kanda ya ziwa

Kama upo na lissu like hapa japo sina chama
 
Lakini huyu Tundu Lissu ni MWEHU.Nyie mnaweza kudhani ni yeye anaongea kumbe Dish limeshayumba kitambo.Tena dish lenyewe la Zuku.
 
Yaani mwambieni mapema kabisa amlete Maria awe wakala wake - akipata kura 7 kidume.
 
Lissu atashindwa kwa 78%.
 
 

Attachments

  • 5900516-2dae5c1f3887d759229713b8a563fcc1.mp4
    7.1 MB
Kama katiba inaruhusu, hata vyama kama CCM waingie tu. Lakini so vinginevyo maana kila chama kina utaratinu wake. Kwa upande wa viongozi wa dini. Nawakubali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…