Wakuu,
Kumbe suala la wizi wa kura haliko ndani ya CCM tu, hadi huko CHADEMA mambo yanaonekana kuwa moto.
Lissu akiwa anazungumza leo amesema kuwa ameishauri kamati kwamba wawepo mabalozi au wawakilishi wao ambao watakuwa kama wangalizi wa Uchaguzi wao wa ndani ya chama.
Haya ndiyo maneno yake:
"Sambamba na viongozi wa kidini, kamati kuu vile vile iwaalike wawakilishi wa kibalozi wa nchi rafiki ili nao washiriki kama watazamaji wa uchaguzi wetu. Hiyo pia itaongeza uzito wa uchaguzi wetu ikiwemo kuongeza macho dhidi ya wale wote wanaopanga uchaguzi huo"
===========================================
Lissu ameona nini mpaka atake mabalozi wa nchi za nje wakawe watazamaji wa uchaguzi wa ndani?
Ndiyo kusema kuwa hata CHADEMA kuna wezi wa kura?
View attachment 3189947